Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

Acha ufala hakunavkigezo cha umri wa miaka 28 mwisho ni 27 tena wenye masterzz mkuuu usikurupuke wakati mwingne na waumri huo wameachwa wengi so acha kutafuta kiki
nadhan alikua anamaanisha divisheni four ya 28 kama cjamuelewa vibaya
 
akili zako changanya na matako yako! Hayajakukuta ndio maama wajibubhivyo
sifa ya kwanza ya askari ni uvumilivu. Comment yako inaonesha hauna uvumilivu hata kidogo.
Hivi polisi wangekua hawana uvumilivu unahisi wangewafanyaje CHADEMA wanaowaita POLICCM?
Jaribu kuwa mvumilivu, huenda mahitaji ya jeshi ni vigezo fulani mfano network engineers kwa ajili ya rada, civil engineers na watu wa CPE kwa ajili ya SUMA JKT.
Doctors na profession zingine pia. Nafasi za watu wasiokuwa na profession au experience zilikuwa chache hivyo usife moyo mkuu.
Lakini hujui Mungu amekuepusha na nini huenda labda ungekufa mafunzoni ila Mungu kakuepusha kwa njia hiyo ya kukosa nafasi.
"Ombeni bila kukoma, mshukuruni Mungu kwa kila jambo",(2 Wathesalonike 5:17-)
God bless you
 
Nimesoma comment zote hapa Jukwaani nimeishia kucheka tu!

Pole sana Mr. Justine kwa kuachwa..

Tambua kuwa JKT wamekuacha ila Mungu hajakuacha..... Kuna Maisha nje ya JKT...


Kubali kuwa waombaji ni wengi.. Kila mmoja ana nafasi sawa ya kuchaguliwa. Kuchaguliwa ama kutochaguliwa hayo ni matokeo.

Huna budi ya kupaniki.. Huna budi ya kukata tamaa na kufikiri maisha yamefika mwisho... Bado nafasi zipo nyingi nje ya JKT.


Pole sana!h
 
28 mbona umri kama mkubwa sana hata akienda huko bado atatoka bila kazi hasa kama lengo ni kujiunga kwenye hizi taasisi za ulinzi kwa nini msimfanyie mchongo mwingine kumbuka mlango mmoja ukifunga mwingine hufunguka
 
Haujaonewa.... tatizo la waatanzania... hawaàmin km kuna kukosa...

Hiv kwel we ndio ujue vigezo kuliko wanaokusail..... alafu kila anayepmba na lazima apitapite ....? Isitoshe jkt wametangaza kujiunga kwa vijana wa kujitolea na sio ajira....
 
Nachanganya vizur tu ila karudi kusoma vigezo acha unyumbu ,,,,wewjkt ni vigezo vyao na sio malalamiko yako alafu utambue jkt sio ajira acha unyumbuu
Jkt ni sawa na veta. Ukimaliza kozi kajiajiri na huwa wanatangazia kabisa watu wenye uelewa finyu kwenye usaili.
Ijapo kuna pia kuna baadhi ya vijana ajira zao rasmi huweza kupata kwa kuchaguliwa kutoka kwenye makambi ya jkt.
 
Miaka 28 labda kama ana PHD

ila chini ya hapo hana vigezo.

Uyatima sio sifa ya kupata nafasi.
Halafu mtu akishafikisha miaka 15 au akisha balehe uyatima unakwisha, vinginevyo nusu ya watu duniani wangekua yatima maana hata wa miaka 50 waliofiwa na wazazi wangesema wao mayatima
 
Mbona wanafanya undugu sana, kuna mtoto wa baba yake mdogo na Mwamunyange Davis yupo huko, wenye tabu wanaachwaa
 
Bangi abavuta babako kijijini
Justin punguza hasira huchaguliwi kwenda jkt kwasabab ww ni yatima. Nadhani ulisoma vibaya tangazo hakuna kipengele walichosema yatima watapewa kipaumbele. Ingekuwa hiko ni kigezo wala wasingetangaza nafasi wangeenda moja kwa moja orphanage centers kwenda kuwachukua.
Pia waweza kidhi vigezo vyote na usichukuliwe kwani kuna idadi maalumu inayohitajika hivyo mkienda mia mbili wenye sifa kama wanahitajika hamsini watachukuliwa hamsini tu.
Mkuu pambana kutafuta maisha sehemu nyingine sio lazima wote muende jkt.
 
Back
Top Bottom