Mh. Mkosamali: This week in perspective

Inaonyesha ata alipokuwa chuo/shule alikuwa aongei kingereza mara kwa mara.

hata kiswahili kinatushinda kama wewe ulivyotumia "ata" badala ya hata, "aongei" badala ya haongei! Kwa vile kimombo kinatushinda, tujivunie kiswahili chetu kwa ufasaha!
 
True, Mkosamali said in his own statement "between all MP....." oohh God, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... imagine this is MP sent to Bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....

Peleka ujinga wako huko kiingereza nini? Wachina hata na baadhi ya nchi za ulaya wanatumia lugha zao ulishasikia wahindi wakiongea wewe unafikiri kuongea lugha ndio unajua mambo fa la wewe
 
Entirely irrelevant excuse. If they are not conversant with English, why humbling themselves in that way? It is better off they refuse invitation instead of exposing their little famililiarity with English which ends them up in such humiliation.
na wewe hii mada imeanza kwa Kiswahili sasa kiingereza cha nini au ndio kujifanya unajua kuliko mkosamali toa ulimbukeni hapa jf
 
Hii ya Lowasa ya will be improve poverty kwa kweli itabidi aulizwe na waandishi wa habari alikuwa anaimanisha nini
 
Mikataba yote huwa kwa kimombo. Si ajabu nchi kuliwa mchana kweupeeeeeee! Watatunga vipi sheria kwa lugha wasioijua??
na huyu ndio kati ya wabunge ambao wasomi¡je wale.ambao ni mayahe kama mrema¡maji marefu¡na akina lusinde si ndio balaa.
 

mkuu kingereza ni janga la kitaifa! Nilisikitishwa na hali aliyonyesha mhe mkosamali jana!
 
Radhia said:
Mtu kama JK pamoja na kufanya kazi Mambo ya Nje kwa miaka zaidi ya mitano aliwahi kuambiwa 'Happy Birthday' akajibu 'the same to you'. ......'

daaah. nimecheka mpaka mwanangu ananishangaa.
 
Hana tatizo, Kiingereza chake imetulia..sana fuatilia..

Mbowe na Slaa ..thubutu..hawatakai washiriki hizo sessions english mgogoro

Slaa yupi,!!! Dr.????
Dr Slaa yuko njema kwenye lugha: ni non-comperable: mwambie Mr. Adam amwalike kwenye kipindi chake uone.
 
Siwezi kumcheka wala siwezi kumlaumu Mkosamali kwa jinsi alivyokuwa anaongea,haya ni matokeo ya mifumo yetu ya Elimu ndio imetufikisha hapo tulipo na alipo Mkosamali,kuna kitu kinaitwa promt presentation,ndicho kinachofanyika katika hicho kipindi sasa inatakiwa uwe umekulia katika mazingira ya namna hiyo hutaangaika kuunda sentesi ili wasikilizaji wakuelewe mazara ya SAINT KAYUMBA NDIO HAYA.Mimi hata nikikopa kwa ajili ya kuwapeleka watoto wangu ENGLISH MEDIUM ninajivuna sana kwasababu naondoa aibu niliyonayo katika kufanya mazungumzo ya kiingeleza kama alivyofanya Mkosamali,wengi wetu humu JF tunalo tatizo linalofanana na la kwake.
Lawama nyingine ni hawa watu wanaotayarisha hivi vipindi wanajua kabisa lugha ya taifa ni Kiswahili lakini wanatafuta lugha ambayo kwa kweli inawanyima watanzania wengi kusikiliza nini kinaongelewa tena kwenye TV ya taifa huu ni ubaguzi wa wazi kabisa,tujiulize ni asilimia ngapi ya watanzania wanaelewa Kiingeleza kwa ufasaha,kwa kusikiliza na kuongea.

Ninashauri TV ya taifa wafungue channel nyingine ambayo yenyewe itakuwa ni Kiingereza tu siku 365 ili kukidhi matakwa ya kila mmoja,leo tunazungumza Kiswahili kitumike elimu ya juu lakini mazingira yanaonyesha haitawezekana kulingana na hali halisi.
 
Ndio maana "Mbowe na Slaa" huwezi kuwaona kwenye sessions kama hizi...

Ni aibu sana kuwasikiliza...
Ni kweli, Huwa namwona Jussa, Ustaadh Mtatiro, Alhaji Mnyaa pamoja na kada wao maarufu Sheikh Basalleh wakishiriki mijadala hiyo TBC
 
Tatizo ni kwamba muda wote unawaza kwa kiswahili kwa hiyo inakubidi Kama huna ufasaha Lugha unapambana na kazi ya kutafsiri mawazo yako kwa lugha ya Kiingereza. Mwongoza kipindi anapaswa kufanya rehearsal na washiriki na kutuondolea hii aibu. Hicho kipindi cha perspective has turned out to be a waste of air time. Whoever is sponsoring it should go back to the drawing board and TBC should carry the blame! Mind you this programme is aired and viewed in Africa via Dstv and Star times. Ushauri wangu wa bure just tumieni lugha ya Kiswahili hata tulioko Rwanda na DRC tutawaelewa zaidi. Kama hujawahi kuota ndoto kwa lugha husika then think twice before going on camera to use a particular language. Hiki kipindi is just another laughing stock comedy per se! Nawashangaa Watz this can only happen in Africa specifically Tanzania. Unakuta kwenye washa au mkutano kuna Wajapan watatu and three Chinese na waTz ishirini mtoa mada anazungumza Kiingereza tena kibovu wakati tuna lugha ya Taifa Kiswahili which is already approved by AU inachekesha!
 
Changamoto kwa vijana wote khaswa hao wawakilishi..............ila kwa wao wanatakiwa kujua kwamba wao ni zaid ya wanavyojichukulia....pamoja na yote majukumu walonayo segment ya PERSONAL DEVELOPMENT ni muhimu kwao. The same way wanavyoendesha expensive cars...in somewat expensive outfits....they have as well a role and responsibility to raise personality of their very own in all aspects including language command


The EAC representatives will one day witness these words.......let them rush in there.....the loss will be shared among us but the shame will be labelled against thier verry names

Viongozi wetu vijana mna kila sababu na uwezo wa kuondokana na haya yanayojadiliwa hapa...... anzeni sasa
 
Hata mimi niliona aibu kila Mkosamali alipokuwa akiongea,pia hata yule mama mwanaharakati alaiyekuwa pembeni yake naye nilona kama ana question marks nyingi usoni,infact Mkosamali sio wa kulaumu ni system nzima ya elimu,yeye ndi waanzilishi wa shule za kata,kasoma shule moja ya kata hapo Kibondo inaitwa Muyovosi secondary school,iko jirani na Kifura,high school sijui alienda wapi lakini nachojua kamalizia chuo kikuu cha kata sasa kiingereza wapi na wapi.Hata huo Ubunge alipata kwa kura za maruhani kwani initially kaka yake Edgar Mkosamali ambaye ni mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Kibondo alienguliwa kura za maoni za ubunge wakati alikuwa anapendwa,alichaguliwa a wrong person Mr Jamaly ambaye jamii haimkubali licha ya utajiri wake wenye mashaka,matokeo yake watu hasira walizipoza kwa kupiga kura za kuikomoa CCM na ambazo zilimnufaisha mkosamali,ukweli ni kuwa huyo dogo hakubaliki na 2015 asahau kabisa ubunge.
 
Hata mimi niliona aibu kila Mkosamali alipokuwa akiongea,pia hata yule mama mwanaharakati alaiyekuwa pembeni yake naye nilona kama ana question marks nyingi usoni,infact Mkosamali sio wa kulaumu ni system nzima ya elimu,yeye ndi waanzilishi wa shule za kata,kasoma shule moja ya kata hapo Kibondo inaitwa Muyovosi secondary school,iko jirani na Kifura,high school sijui alienda wapi lakini nachojua kamalizia chuo kikuu cha kata sasa kiingereza wapi na wapi.Hata huo Ubunge alipata kwa kura za maruhani kwani initially kaka yake
 

aaaaaaaaaaah aaaaaaaaaah kazi ipo, alipokuwa mgonjwa akaambiwa "get well soon" akajibu "The same to you"
 

Tehe! Tehe! Tehe! Kwamba 'the same to you'..'I will improve poverty'..'dancing floor'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…