Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Lugha gongana! Dah! Uhishimiwa kazi kweli kweli.....lakini c mnaelewa anachozungumza?! Hiyo ndio point ya msingi, kwani kazaliwa Ulaya yeye. Mbona J. Magamba aliwahi kuhojiwa Tbc nyuma kuna bonge la shelfu limejaa vitabu, ova Obama.
Tafsiri isiyo rasmiLowassa naye kwenye YouTube anasema 'If I will be elected the president, my first priority will be to improve poverty.'
Ndio maana "Mbowe na Slaa" huwezi kuwaona kwenye sessions kama hizi...
Ni aibu sana kuwasikiliza...
January ameingiaje hapa?
hapa kwenye lugha chachetrue, mkosamali said in his own statement "between all mp....." oohh god, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... Imagine this is mp sent to bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....
Ndio maana "Mbowe na Slaa" huwezi kuwaona kwenye sessions kama hizi...
Ni aibu sana kuwasikiliza...
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!
Vipi Jussa je?
True, Mkosamali said in his own statement "between all MP....." oohh God, & he seems forcing words out haaaaardly, looking the roofs, left, right... imagine this is MP sent to Bunge to come up with bills, to discuss them & become laws....
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!
Mikataba yote huwa kwa kimombo. Si ajabu nchi kuliwa mchana kweupeeeeeee! Watatunga vipi sheria kwa lugha wasioijua??
Hakuna anayekataa hilo...ishu ni kuwa unapozidisha gestures uko likely kupoteza!...unaweza ukawafanya audience yako wasiconcentrate na pwenti unazomwaga, wakawa wanaangalia miondoko ya mikono na kichwa chako...WAALIMU WENYE GESTURES NYINGI MNO MASHULENI WANAISHIA KUPEWA MAJINA!gesture ni nyenzo muhimu katika kuwasiliana mkuu. Jifunze kuzitumia hata katika majadiliano yako na partners wa aina mbalimbali. Lugha ni sawa but gestureS hazina MAHUSIANO.
Hana tatizo, Kiingereza chake imetulia..sana fuatilia..
Mbowe na Slaa ..thubutu..hawatakai washiriki hizo sessions english mgogoro
Na hicho kipindi kwanini kinang'ang'ania kiingereza,naikumbuka jenerali on monday..ilikua inaenda na move!sio kina Hamza Kasongo na hii,watazamaji wanaojua english ni wachache sana,jamaa wakuwa na mada nzuri lakini haziwafikii walio wengi kisa lugh gongana!
Nadhani hauko sahihi. Sikiliza huu uzi
Interview with Dr. Willibrod Slaa - Tanzania - YouTube
Really? Nimesikiliza hiyo clip mbona iko pouwa sana!The interviewer MMKJ mwenyewe english mmmmm!
Slaa hajaulizwa maswali magumu...
Anatumia nguvu sana kuongea, na analazimika kutumia gestures sana ili kusaidia uwasilishaji wa anachowaza!
Lugha ni shida sana kibongobongo!