KISANTILITEDI
Member
- Dec 31, 2009
- 96
- 27
Prof. ulikua wapi tangia December 2009..?? you have only 32 posts..Mh Membe,
mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza. ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi.
pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.
na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao...
mwisho kabisa mimi kama kijana wa chadema, naunga kauli ya mwenyekiti (mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kiwekwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea ccn.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi
Speak for yourself.
Mh Membe,

Asante sana, @nngu07
Kwanza kabisa Ndugu KIJANA wa CHADEMA -- TANZANIA hata siku MOJA haijawa kuwa MWANACHAMA wa ECOWAS (ECOWAS ni Muungano wa KIUCHUMI wa NCHI za Afrika Magharibi eg NIGERIA; GHANA etc) kwahiyo haitawezekana
Pili;Tanzania pia ni Wanachama WA SADCC sio lazima wakimbilie UMOJA wa AFICA 9AU)
Tatu: POLITICS ni DIPLOMACY... Sasa kama Rais wetu hata weza kumjibu Rais wa nchi yoyote KIDIPLOMASIA kuhusu issue yoyote iwe ya KISIASA; KIBIASHARA; KIUCHUMI; KIUTAWALA then atakuwa na Mapungufu... Sababu ukimya huo utadhihirisha jinsi UONGOZI wetu ULIVYO na DOSARI; UNYONGE; UFINYU wa MAELEWA
Nne; Kumbuka kuwa - VITA vya UGANDA kiongozi wa NCHI ya TANZANIA hakuwa huyu wa Sasa yaani Jakaya Kikwete; Tulikuwa na Uongozi Bora Shupavu wenye kujua Diplomasia - Kwahiyo Usilinganisha Madaraka ya Ungwe Moja na Ungwe Nyingine na kusema ni kitu kimoja...
Kuhusu Usuluhishi wa HALI huko KENYA; Kulikuwa na sababu mbalimbali ambazo lazima AMANI lazima ingejadiliwa na kukubaliwa; Sababu ya viongozi hao kufikia MWISHO wa Masuala yao.
Kama ni RAIS wa TAIFA na MPENDA AMANI ni FURSA kujibu chochote NCHI zinazoonyesha kutokuwa na IMANI na NCHI yetu kujibiwa KIDIPLOMASIA... As you know by what is going in this WORLD - ALL WAR REPRESENTS A FAILURE OF DIPLOMACY
Asante sana, @nngu07
1)Nilirekebisha kwenye comment, nilipitiwa tuu,, ni Comesa.
2) ndio sadc ni washirika wetu muhimu lakini majirani zetu sio wote wako Sadc Hivyo kubaki SADC na AU ni vema kwa TZ
3) kweli Politcs ni diplomasia, na wakati mwingine diplomacia inakuwa kwenye wakati mgumu.. Kwanza Rais wetu ameonyesha umahiri na udhoefu wake katika diplomasia ndio maana nilimpongeza.. kitendo cha yeye kutoa maoni yake ni mazuri kabisa tena kwa kidiplomacia na kwenye sehemu husika.. lakini wenzie sio wanadiplomacia. wanatolea maneno kwenye vichochoro, tena wanajifungia jikoni kupika ya kwao.. wale sio wana diplomasia.. wale ni wakiukwaji wa haki za binadamu yule jaji wa ufaransa alisema Kagame anastaili kujibu mashtika, kenyatta anayake na kaguta unajua yake. hivyo sioni haja ya kushirkiana nao.. diplomasy is god but strategy is better.. tujiondoe tuwekeze kwenye umoja wa afrika na Sadc... kujiondoa EAC haimaanishi kusitisha ushirikiano na hizo nchi.. ila ni salamu tosha kwa strategies zao wanazopika jikoni na kulia chini ya uvungu... unafikiria Kikwete akipigwa ni watz ni watz wote tutakuwa watumwa wa Rwanda.
4) lakini bado serekali ni ile ile ya CCM ni viongozi tuu wamebadilika..Nyerere alitambua kuwa sio wakati wote diplomasia inafanya kazi ndio maana umoja ulivunjika.. na ndio maana alitumia nguvu Majeshi diplomasia iliposhindwa. historia hujirudia lakini binadamu hatujifunzi.. mazingira ya Kikwete na ya Nyerere ni tafauti..hatuna haja ya kurudi tena nyuma kwenye vita.. cha msingi ni kuuutupilia mbali huu umoja.. tuheshimihane tuu kama nchi.. na majirani.. lakini umoja ulijazwa na waviziaji haukubaliki.
Ni kweli tunapenda Amani.. na wamekula matunda ya amani yetu.. sasa wanapoanza kusema I'll hit you hiyo ni vita ya maneno.. kikwete akjibizana na mshenzi itatokea vita.. ili kuepuka shari ni kunyamza.. wangekuwa wanatoa hoja Kikwete asingekwepa jukumu la kuwajibu hoja.. lakini kawaziri kanathubutu kumuita 'mediocre' huyo unataka ajibiwe nini..'ukishidnana na mjinga utakuwa_____'
Asante sana kwa kuchangia uzi hu
Hapa ni Mh. Sitta si Membe
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzaniaMh Membe,
Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza.
Ni heri tukajitoa kwa sababu zifuatazo tukiwa wakwanza kuondoka hatutakula hasara sana, tukichelewa muungano utavunjika na hasara itakuwa kubwa zaidi. Pili, kama kuna jambo lolote linahusu ushirikiano linaweza kujadiliwa Umoja wa Afrika, ambako kutakuwa na usawa zaidi wa watanzania kupata haki yao.. Tatu, viongozi wote walioko kwenye EAC ni wakiukwaji wa haki za kibinadamu, ( wote tunajua h historia ya kagame, kenyata na Kaguta).. kama tuna kiu ya ushirikiano sana tunaweza kushurikiana na Burundi na Kongo ambako tayari tumeshatuma vijana kusawazisha Amani duru ya taifa letu.
Na nne hatuwezi kushuhudia ofisi yetu kuu( ikulu ikidhalilishwa) na watu amba tumewasaidia kwa jasho letu ( tumesuluhisha kenya, tumeikomboa UG toka kwa nguli amini, Rwanda Baba yetu wataifa alipotezea mda wake wa kustaafu kutafuta suluhu.. licha ya wakimbizi) alafu tucheke nao... Mwisho kabisa mimi kama kijana wa CHADEMA, naunga kauli ya mwenyekiti (Mbowe), 'mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni' rais wetu Kikwete kaonyesha hekima kutojibiza na samaki wanaotapatapa..yeye ni action tuu wanamuonea CCM.. dongee limewakaba.. maskini yule jamaa wa, I'll hit you' kama umemmcheki fresh kazeeka... sijui tumpasishie kikombe cha babu wa loliondo... asante nawasilisha
Prof Kisantilitedi
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania