Msiniulize kama chakula kina pottasium cynide ama lah..tusubiri yawafike.....mwakyembe aliunga unga vijisafari hivi hivi alipofilia kumomonyoka mpaka leo akumbuki alikula wapi
hii nchi hii
Baadaye leo anakutana na vijana wa Kitanzania walioko maeneo haya ya Washington D.C. Virginia na Maryland. Hata mimi yakhe nitajikongoja niende kuona yanayojiri na jioni nitawaleteeni taarifa.
kijana mdogo uko tunaenda likizo tunarudi wala sio issue sana ..tumeweka hii tupate kujua kinachoendelea kwa walio uko kama unaposoma m=kuna mmoja katuambia anakutana na vijana we ulikuwa ujui na leo weekende unashindaa bar tu kunywa nzawisa
mh mbowe ulivyopendeza kwa kweli imebidi niweke kwenye computer yangu mpaka pale man city watakapofungwa wakishinda itabidi iendelee kubaki
unajua uzuri wa chadema smartness auko kichwani kila sehemu ndio maana ...malizia
umenichekesha nilipeleka vitu vyote wakaniuliza nina mke nkawaambia ndio nikaombwa cheti cha ndoa sikuruditena aaisee ..pole sana amia...ule raha kama mimi