Mh Mbowe na Mh Pinda kanisani.........

Mh Mbowe na Mh Pinda kanisani.........

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Mbowe na Pinda walijikuta wamekaa pamoja kanisani mara mchungaji akasema mgeukie mwenzio mwambie wewe ni mzuri,mbowe alipomgeukia pinda akaanza kucheka kisha akamwambia mchungaji mwambie mwenyewe mi sitaki dhambi......
 
Hahahahaaaa
 
Si bora ya pinda anayo macho yote mawili,teh teh teh. Yeye mwenye ji ho moja ndio alikuwa atolewe nduki kabisa. Kwa taarifabyenu, pinda ni bonge la handsome kwa mbowe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom