Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Chadema hawana la kufanya kwa sasa inawabidi kuwa wapole tu maana makosa walifanya toka mwanzo... Sasa wakubali kupakatwa tu hawana jinsi.
Naanza kukosa imani na viongozi wa CDM, Nahisi niwasaliti wa wananchi, Tutaendelea kuishi kwa matumaini Hewa mpaka lini?
Imekuwa ni kawaida ya viongozi wa upinzani wakiingia ikulu wanarudi wamesahau kilichowapeleka, Inaumiza saana,
Kwani aliyempakata mwenzake hapa ni nani? Kwani ktk ilani ya ccm hawakuwa na mpango wa kubadili katiba ila chadema wamelikomalia wamefanya kuibadili mpaka hapo huoni ccm wamepakatwa kimshazari?

Mlitegemea jipya kwani, tushikamane jamani tujenge taifa, je tufanye nini ili tujikite kwenye kufanya kazi na kuwajibika ipasavyo na kuacha kabisa blabla na kusogoa maofisini?
Tufanyenini ili kuhakikisha wezi, hasa huko mawizarani wanapewa adhabu kali hata ikiwezekana iwe ya kifo kwa uwapiga mawe na kuwachoma moto kama tufanyavyo kwa vibaka; na tufanye nini ili kila mmoja wetu atii sheria na kutumia madaraka yake kwa faida ya wananchi? Tufanye nini ili kila mmoja wetu atimize wajibu wake bila kusukumwa au kukumbushwa?