Mh Malinzi tunaomba ufafanuzi, jee hii ni account yako kweli?

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,986
Maana unapost vitu vya ajabu ajabu tu, jana tumempiga chad bao moja, alafu unapost eti full time Chad0-0Stars...
Siamini kama ni account yako.
Ebu toa ufafanuzi, otherwise wewe ni jipu na TFF si saizi yako.
Cc Jamal Malinzi
 

Attachments

  • 20160323231538.jpg
    20160323231538.jpg
    31.6 KB · Views: 37
Hii account ndiyo iliyokuwa ikimkampenia kipindi cha uchaguzi wa tff, kwahiyo kama hakuikana toka kipindi hicho ni yake!

Huyu jamaa ni buree kabsaa!
 
Back
Top Bottom