Mh Magufuli fedha za Elimu bure zinataka kuchezewa huku Mtwara

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Juzi katika kikao cha shule Mkuu wa shule ameleta taarifa kutoka ofisi ya Elimu mkoa kuwa ofisi hiyo imetuma maombi TAMISEMI ili fedha zinazotumwa mashuleni zisitumwe mwezi huu na mwezi ujao ili zitumike katika UMISETA na mtihani wa MOCK.

Kufuatia ombi hilo, waalimu tumeambiwa tujiandae kuandika ubaoni mitihani ya kumaliza mhula huu kwani hakutakuwa na fedha za kuchapisha.

Sasa kwa mtindo huu ni wazi kuwa elimu yetu itaendelea kudidimia badala ya kuboreshwa. Mtihani wa kumaliza mhula ni lazima umpime mtoto katika nyanja zote hivyo Mara nyingi unakuwa mrefu kiasikwamba ukiandikwa ubaoni ubao utajaa na kufutwa Mara kadhaa. Pia nivema kila mtoto awe na karatasi yake ya maswali ili kuwa na Uhuru wa kuanza na swali analoweza.

Tukiachana na hayo, Yapo mahitaji mengi sana yakitaaluma yatakayokwama endapo ombi hili litaafikiwa na Tamisemi. Mheshimiwa mkuu wa nchi kwakuwa tamisemi iko ofisi yako, tafadhali liangalie hili..
 
Juzi katika kikao cha shule Mkuu wa shule ameleta taarifa kutoka ofisi ya Elimu mkoa kuwa ofisi hiyo imetuma maombi TAMISEMI ili fedha zinazotumwa mashuleni zisitumwe mwezi huu na mwezi ujao ili zitumike katika UMISETA na mtihani wa MOCK... Kufuatia ombi hilo, waalimu tumeambiwa tujiandae kuandika ubaoni mitihani ya kumaliza mhula huu kwani hakutakuwa na fedha za kuchapisha.
Sasa kwa mtindo huu ni wazi kuwa elimu yetu itaendelea kudidimia badala ya kuboreshwa. Mtihani wa kumaliza mhula ni lazima umpime mtoto katika nyanja zote hivyo Mara nyingi unakuwa mrefu kiasikwamba ukiandikwa ubaoni ubao utajaa na kufutwa Mara kadhaa.... Pia nivema kila mtoto awe na karatasi yake ya maswali ili kuwa na Uhuru wa kuanza na swali analoweza..
Tukiachana na hayo..... Yapo mahitaji mengi sana yakitaaluma yatakayokwama endapo ombi hili litaafikiwa na Tamisemi. Mheshimiwa mkuu wa nchi kwakuwa tamisemi iko ofisi yako, tafadhali liangalie hili..
Hapa kazi tu. Hamtakiwi kuhoji
 
Umeanza we mwanamke, unashitaki sasa? Mh tumeharibika sasa Tanzania
 
Back
Top Bottom