Nyerere anasema kiongozi yoyote anaevunja katiba hatufai hata kidogoKwa mfumo tunaoenda nao ipo siku unabii utatimia.. Ubakaji wa demokrasia na katiba.. Walioapa kuiliñdà katiba leo hii ndo wanaibaka....tutafika tu
Ndo ukweli. Sasa kuna umuhimu gan kupinga mikutano ya kisiasa ambayo ipo kisheria/kikatiba...Nyerere anasema kiongozi yoyote anaevunja katiba hatufai hata kidogo
Kumbe bado unaucheza wimbo usioujua,unafahamu kwamba vyama vya siasa vina copies za fomu za uchaguzi kutoka kila jimbo,sasa kwanini hizo fomu zisitumike ili tuone ukilichoibwa.we umesoma shule wapi? unacho uliza ndo ukawa walikuwa wana kiandaa, kabla hawajamaliza ccm ikatuma vibaraka wakaharibu mfumo na waandaaji wakaswekwa rumande, kumbuka pia mgombea wa ukawa alipeleka malalamiko Tume ya uchaguzi, hawakumsikiliza,
Kwa Magu mfumo Wa vyama vingi ni kitu ambacho hakipo. Na huyo ndiye Nyerere mpya. Anafata nyayo za Nyerere aliyefuta mfumo Wa vyama vingi.
mi sijasoma ndugu yangu,kama ndio walikuwa wanaziandaa basi walikuwa wanafoji,fomu zinaandaliwa na NEC,kutuonesha fomu za nchi nzima hakuna uhusiano na tally center,mpaka leo hizo fomu hatujawahi kuziona zaidi ya kusikia malalamiko ya kuibiwa.we umesoma shule wapi? unacho uliza ndo ukawa walikuwa wana kiandaa, kabla hawajamaliza ccm ikatuma vibaraka wakaharibu mfumo na waandaaji wakaswekwa rumande, kumbuka pia mgombea wa ukawa alipeleka malalamiko Tume ya uchaguzi, hawakumsikiliza,