TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Naendelea Kushitushwa, Na kauli, Teuzi, Na mambo mbalimbali ya anayofanya Rais Magufuli Kisiasa huku akisema ati kusiwepo na Shughuli za Kisiasa hadi hapo 2020. Lakini Kwa Kasi na Kwa Makusudi Kabisa, Magufuli anapambana na Mfumo wa Demokrasia Uliokuwepo.
1)Anazuia Matangazo ya Moja Kwa Moja ya Bunge tena Kwa Visingizio vya Uwongo
2)Kama alivyo ahidi anawapa Ukurugenzi wa Vilaya na Miji Makada wa ccm pekee tena wale ambao waligombea Ubunge na eidha kukosa tiketi au Kushidwa Uchaguzi.
3)Anawaagiza Polisi wapige Marufuku Shughuli za Kisiasa za Vyama Vingine, Ikiwa Ni Pamoja na Sherehe, Mikutano, Maandamano, Na Masikini hata Kuzika wafu wao (Alfonzo Mawazo)
4)Kupeleka Askari Bungeni Kupiga wabunge ili Kuwatisha.
5)Kukamata Viongozi wa Upinzani ovyo kwa vile tu wanatoa Mawazo yao.
6)Kutuma Polisi Kuwinda Wanasiasa na Viongozi wa Jamii kwa Kupingana na Rais.
7)Kila anayemteua hata Kwenye Nafasi za Kitaalamu lazima awe CCM. Imebakia tu waalimu na Madaktari wote wawe ni CCM. Labda Ndio Maana akafukuzilia wale watoto 7000 Mitaani, ili apate nafasi ya Kuwarudisha wale ambao ni CCM, Ili Kizazi Kijacho Kiwe Na waalimu ambao Ni CCM Tu.
Bila Unafiki, Kwa Mtu anayefikiri na Anayekubali Ukweli, Huko Ndiko Magufuli anaipeleka Tanzania Yetu. Nani anaweza Kuniambia Kuwa Ni Jambo Jema? Hata kwa CCM sio Jambo Jema. Ni sawa na Bondia Unaenda Ulingoni Kwenye Pambano na Bondia Mwingine, Halafu Unashangaa Wanatokea Mapolisi na Mabaunsa wanamkamaata Mpinzani wako, Wanamfunga Kwa Minyororo Mikono Na Miguu kisha Wanapiga Filimbi na Kukuambia Uanze Kupigana Naye! Ukiwa Mnyama Utafanya hivyo, Ukiwa na Utu, Na Anayetunza heshima yake. Utavua Gloves na Kushuka Ulingoni, huku Ukiwaambia, "Ninyi Mna Wazimu, Not Me!"
Sasa Kama Katika Michezo Tu Hili swala halifai, litafaaje Kwenye Maisha halisi ya Watu wa Nchi, Bila Ushabiki wa Kisiasa Tujiulize! Huko Tunakondelea aipoacha "ujancha huu uchwara" Atalitumbukiza Taifa Katika Civil War. Na Sichochei Kitu chochote Nyinyi Wanafiki Mnayembatiza Kila anayetabiri Kwa Kuangalia Mwenendo Ni Mchochezi, Basi Kama Mimi Ni Mchochozi kwa Kutabiri yanayoweza Kutokea, Na Mwalimu Naye alichochea aliposema tukiendeleza kubaguana, Hatutabaki wamoja, "tutachinjana"
Uteuzi wa wakurugenzi 187 wazua hofu
Video Niliyosema Haya Yatatokea. Ilikuwa Ni Kabla ya Uchaguzi.