Mh. Lowassa akagua ujenzi wa hospitali Monduli

Mimi nimeuliza, Hospitali hiyo itamilikiwa na nani? Kama huna jibu una kaa kimyaa.

Mkuu nahisi we ni kati ya wale wagonjwa waliofnyiwa operesheni ya kichwa badala ya goti muhimbili.
Swali unalouliza hata mwanao hawez uliza swali la kijinga namna hyo
 
Hapa tu mimi ndio huwa mzee wa monduli huwa ananifurahisha.
Akisimamia jambo lake lazima ahakikishe limekwisha,hawa wsipo vitendo!
KUna mikoa mingne hat nahis haina hosptil ya mkoa kama hyo happ weny picha,lowasss Mungu akubariki popote tunakwend kukupa nchi utupeleke kweny nchi ya maziwa na asali
 
Mkuu nahisi we ni kati ya wale wagonjwa waliofnyiwa operesheni ya kichwa badala ya goti muhimbili.
Swali unalouliza hata mwanao hawez uliza swali la kijinga namna hyo

Hii ni jf, hata wagonjwa wanaruhusiwa kushiriki mijadala,aliyeulizwa kakaa kimyaa, ww hukuulizwa swali hili. Si umwachie mwenye uzi ajibu. Matusi ya nini? Swali liko pale pale.
 
Hii ni jf, hata wagonjwa wanaruhusiwa kushiriki mijadala,aliyeulizwa kakaa kimyaa, ww hukuulizwa swali hili. Si umwachie mwenye uzi ajibu. Matusi ya nini? Swali liko pale pale.

Tuliza shanga wewe muda wa maswali umeisha.
 
Ccm hakuna zaidi ya lowassa
waache wahangaike ila lowassa ameshawabana ukutani hawan pa kutokea
 
Mbona hayo maandishi ya Edward Lowassa yana rangi za bendera ya Tanganyika? Au ni Muumini wa Tanganyika ila Anaogopa kujitokeza hadharani?

Mkuu vyovyote ni sawa
Tunataka kiongozi mwenye msimamo
tulisha chokq na mipasho
 
Ccm wajiandae kumpa mikoba maana no way out na Yule kibaraka alie sema kaskazini kamwe akajipange upya
 
Na kura yangu anapata. Hatutaki watu wa kubwabwaja, tunataka vitendo zaidi. Wengine wasubiri kuoteshwa, tayari tutakua tumeshalivuka daraja.
 
kidogo naona huyu jamaa kama vile anaweza kutufaa. maana inawezekana kabisa akaendeleza yale aliyoyafanya Kikwete. let we see at the end.
 
Uvccm Monduli, hongereni vijana wenzangu natambua kazi yenu!! Tuko pamoja katika kujenga chama.

Wewe sio kijana, una fikra za kizee, mawazo ya kizee. Huenda hata sura imekomaa sana kwa vile umejigeuza mtumwa wa magamba

Kijana huwezi kuwa mchumia tumbo, fanya kazi acha kuishi kama kupe kuwanyonya wanasiasa hata Azimio la Arusha linakataa makupe kama wewe mzee.
 
Utaendelea kuwa komeo aka vyupi mpaka siku ya mwisho wewe maandazi!!lawssa siyo mbinafsi kama hao wagombea wenu wa mfukoni kuna kiongoz yeyote anaweza kuchangisha hela kama lowassa?

Na hicho kigezo cha kuchangisha pesa, ndicho kinachowapoteza wa tz kwa baadhi. Uongozi ni dhamana, fikra chanya. Kuchangisha mipesa, huh!!! Uongozi haununuliwi kamwe, na Tanzania itaendelea kuteketea kwa sababu raia wake ni vichwa maji
 
We mwenyewe nahis hata hujui ulicho kiandka hapa!Muombe tu Mungu akusamehe kwasabu hujui ulitandalo.binafs lowassa namkubali zaid kwenye utendaji
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana huyu mtu fisadi mwizi kaliangamiza taifa halafu kuna watu mnakurupuka huko mnamshangilia,ishitoshe yupo kwenye List of shame aliyoitaja Dr.Slaa pale mwembeyanga,...ujinga kitu hatari sana,hivi ni nani anaefahamu huyo Lowasa wenu hizo pesa zake zimetokana na nini
 
Who the hell is Dr Slaa! hata wewe waweza kutengeneza list of shame yako, toka lini huyo Slaa akaaminiwa! Kama ni list of shame yeye yuko list ya kanisa kuliibia na kukiuka kiapo cha wito wake kama mtumishi wa bwana, unataka aaminiwe na nani tena!
 
Join date yako ni 17th July 2014,karibu sana JF,ila nakushauri ni vizuri ukabaki kuwa msomaji tu,badala ya kudandia vitu usivyovijua
 
Back
Top Bottom