Mnamwandama kwa sababu ni Muislaam.............. Wagalatia bana.
Hizi ni baadhi ya Kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya Bunge:
General:
Salutation: Honourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name: Lusinde
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
EDUCATIONS
Mbigili Primary School: 1980 – 1987 - PRIMARY CERTIFICATE
CCM College Ihemi: 2007 -2008 - CERTIFICATE
Kutukana!Hicho chuo in red wanafundisha nini?
Ikiwezekana watakuwa wanafundisha matusi na mipasho.Hicho chuo in red wanafundisha nini?
Hapana aliyesema sioi ni shoga. Hii movie ilikuwepo hapa JF tangu mwanzo, nadhani yeye lusinde ni member humu na ndiko alikoitoa. Mtizamo wangu tu.Mkuu ingawa yale maneno yalikuwa makali kiaina fulani lakini ilionekana kama anajibu mapigo ya upande fulani, sasa kwanza kabla ya kumjadili Lusinde tujiulize kama ni kweli yale aliyoyaita majibu kuwajibu baadhi ya viongozi wa CDM yalitamkwa na hao viongozi?
Kimsingi kama ni kweli yupo mweshimiwa wa CDM aliyesema SIOI ni shoga ilikuwa haijatulia, wakati tunajadili haya lazima tukiri kuwa wapo baadhi ya viongozi katika vyama vya siasa wasiotofautisha kati ya mitaani/vijiweni na kwenye kampeni.