Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C.

Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania.

Mh. Lissu anaendelea na ziara yake machana huu.
 

Attachments

  • FAA4475A-0DCD-4614-B273-E13F4C6DA581.jpeg
    252.7 KB · Views: 66
  • 53AF2066-C47B-4986-81BF-73FE96987CDC.jpeg
    208.1 KB · Views: 64
  • B1F009AF-311D-4254-91B5-58CF387D9B68.jpeg
    179.5 KB · Views: 86
Yah right.... Unamlinganisha Congressman na mbunge wa Kenya.

Kesho utadai kuwa Rais wa TZ ni Sawa na wa USA... Kwa vile wite ni Wakuu wa nchi!!


Kukutana na congressman wa USA siyo ishu hata mimi nishawahi, ni kawaida sana hata wewe ukitaka unaweza kulingana na unachofanya.
 
Then utakuwa unajua vizuri influence ya Congressman kwenye politics za US...!!


Siyo ishu, USA inaongozwa na foreign policy, na hizo huwa haibadiliki, na foreign policy ya USA inaendana na maslahi ya USA kwa nchi husika, sasa USA hana maslahi yoyote yale JMTZ bora hata ingekuwa Kenya wanaihitaji shauri ya Somalia lkn kwenye geopolitics ya USA JMTZ yetu haimo kiihivyo.

Na hilo halibadiliki haijalishi nmnakutana na kupiga selfie na senator au congressman yupi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…