Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Wanabodi
Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka 2015
Binafsi naamini ni mwaka wa marejesho,mwaka uliojaa matukio ya kihistoria kwa Taifa letu,uchaguzi mkuu,kura ya maoni,kuandikishwa etc
Hapa Arusha jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya makamanda waliopoteza maisha wakipinga uchaguzi wa meya wa arusha,jambo la kusikitisha na kuumiza zaidi hasa sisi wafiwa ni kitendo cha dharau cha Mh Lema mbunge wa Arusha kukataa kuzungumza na umati mkubwa uliokuwepo uwanjani kwa madai ya kitofo kuwa umati ule yaani sisi tulioacha shughuli zetu kuja pale sio size yake,mh lema umejisahau mapema sana,wewe ni nani?miaka minne tu umejisahau hivi?CHADEMA ndio imekufikisha hapo ulipo leo unatutukana hadharani wananchi wako?tumekukosea nini?mimi ni kamanda lakini dharau zako zina mwisho.
 
Tatizo la Lema ni bange na ugolo., Lema toka awe mbunge hajafanya chochote cha maendeleo arusha zaidi ya kujenga gorofa lake Njiro
 
Tatizo la Lema ni bange na ugolo., Lema toka awe mbunge hajafanya chochote cha maendeleo arusha zaidi ya kujenga gorofa lake Njiro

Mimi ni m2 wa kaskazini nazijua fika tabia za watu wa kaskazini kwa mfano wakiwa na ndugu anayefanya kakazi ka kumfanya abadilishe mboga huwa huyo ataisha kwenye midomo yao mara oo jamaa anakula vizuri anatusahau ku.be masikini wa mungu anafanya kazi usiku na mchana ili angalau apate milo mitatu akikopa akajenga kabanda oo anajenga wakati sisi hatuna hata nguo za kubadilisha yaani ukiwasikiliza utapata shida 2 katika maisha yako na uelewe ni watu wasioridhika hata wakipewa. Mto mada analalamika eti lema kajenga gorofa jamani tuangalie je kwa mihangaiko yake asigeweza kujenga ha line za credit sio kuongea tu kisha iki mimi simuungi mkono jamaa aache mawazo ya kikaskazini afanye kazi asitegemee lema ataenda kumjengea. Na swala la muhutubia lazima awe na kibali cha polosi. Inaonyesha mtoa mada ndie aliyeandaa mkutano je aliomba kibali polosi atuwekee kibali hapa tukione ndio tujadili vizuri
 
Tatizo la Lema ni bange na ugolo., Lema toka awe mbunge hajafanya chochote cha maendeleo arusha zaidi ya kujenga gorofa lake Njiro

Wewe! Atakayefanya maendeleo ya kweli ni serikali lakini sio kama hii ya sisiem. Hatukumpa lema atujengee chochote kwa pesa zake. Noo. Yeye sio serikali. Tunataka wabunge wawaamshe wananchi akili zifanye kazi.
 
Sisi wapenda Maendeleo bado tunasubiri MACHINGA COMPLEX pamoja na Hospitali ya mama na mtoto kutoka ahadini mwa Mheshimiwa LEMA.
Pia tunaulizia lile Trekta letu, msimu wa kilimo umeshaanza.
 
Ngoja nimuulize kama kweli alitoa kauli hiyo nitaanza kumchukia raasmi kuanzia leo!! Ila kama ni uongo!!utajutia uongo wako.
 
Wewe! Atakayefanya maendeleo ya kweli ni serikali lakini sio kama hii ya sisiem. Hatukumpa lema atujengee chochote kwa pesa zake. Noo. Yeye sio serikali. Tunataka wabunge wawaamshe wananchi akili zifanye kazi.

BAVICHA Typical...!

Unafahamu ahadi za LEMA kwa wapiga kura wake mwaka 2010?

Wakazi wa Arusha tulimchagua baada ya kutuahidi kuwa atajenga MACHINGA COMPLEX mbili pale ilipo Stand kuu ya mabasi ya mikoani, na Stend kuu ingehamishiwa Kwangulelo, Pia ahadi ya kujengewa Hospitali ya mama na mtoto yenye swimming pool, iliwavutia akinamama wenzio wakampa kura LEMA...

Leo tunapohoji mrejesho wa ahadi hizo usibeze...!
 
Alie mchagua lema lazima atakua anafanana nae yani kama mgombea ni lema sipigi kura ata kwa virungu huyu jamaa anastahili kuongoza panya road na c watu wenye akili timam watu wa arusha poleni sana
 
hii kitu siamini km ipo kwa staili ulio eleza, japo mm ckuwepo na wala sio mkazi wa arusha lakini naamini ni lazima kuna mazingira yalio mfanya lema atoe maneno hayo km kweli aliyatoa, ww ulie leta huu uzi kuna sababu ilio mfanya lema atoe hayo matamshi ambayo hutaki kuisema na lengo lako ni kuamsha hisia zetu ili tumchukie mbunge, otherwise ni unauwezo mdogo wa kufikiri
 
Lema kaishapata alichokuwa anakitaka hamna umuhimu kwake kama jumba la kifahari kaishajenga huko Njiro.

Mwenzio Dada MSALANI kanunuliwa kaji IST, wewe Kalaghabao na Nongwa zako
 
Last edited by a moderator:
Sisi wapenda Maendeleo bado tunasubiri MACHINGA COMPLEX pamoja na Hospitali ya mama na mtoto kutoka ahadini mwa Mheshimiwa LEMA.
Pia tunaulizia lile Trekta letu, msimu wa kilimo umeshaanza.

Mtasubiri sana. Kiwanja cha hospitali Lema kakimega na kumpa mkewe. Kilichobaki Mbowe anakifanyia push up.
 
Mkuu Tafadhali.

Mimi ni mwanaume. Kashfa kama hizo zinazihidhihirisha kuwa umeshindwa kupambana na hoja, sasa unaleta vioja.

Lema ana Laana ya marehemu Chacha wangwe kwani anajua Lema ndiye alimrejesha kwenye mavumbi
 
hivi mbunge ni msemaji au mtendaji??.....kama kusema anasema bungeni ila watendaji sasa wanaleta siasa wanajua wakitekeleza aliyoyasema lema ni crdt kwa chadem
 
Back
Top Bottom