Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
CCM kutokomea Arusha kunamsaidia vp mwananchi wa kawaida ambaye hana chama?
Umefanywa nn na lema? Weka wazi mkuu.We gamba acha upumbavu embu tuache sisi tulomchagua na tunajua alichotufanyia mpaka sasa.
ARUSHA tunampenda Lema na kamwe hatutamchagua mwingne zaidi ya Lema.
Chadema ni genge la majambazi, wauwaji, wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu, walipua mabomu mikutanoni na wapora wake za watu.ccm ni ibilisi wa maendeleo...
Lalwa hapo chumbani subiri yanakukuta bila kufanya kazimaisha bora yako wapi?
Huna hoja mwehu ww lazima utukane. Wahuni wa chadema tunawajua mkiishiwa hoja. Matusi mtandaoni, jukwaani, mitaani hadi bungenivipi unataka akufanyiziw kamalivyo kufanya kule uk.. hivi bado hujajifungua tu..
Unajiita gold member halafu una akili matope namna hii!! Bure kabisa mwizi mkubwa wwvipi unataka akufanyiziw kamalivyo kufanya kule uk.. hivi bado hujajifungua tu..
jibuni hoja sio kujifanya hamuoni kinacho zungumziwa....haya hata kama angeitwa godfrey ndo kingebadilisha hicho alichokiogea ? amkeni nyie
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
Trekta si lipo kwa Mama yako!? Ccm mmeongoza kwa miaka 50 lakini hadi leo wanafunzi wanakalia mawe km viti darasani mbona usizungumzie hilo!?
Lema kajenga barabara ipi kweli? Kweli hujitambui mkuu.
Haya ni yale yale ya kiwia kununua gari la wagonjwa na kuandika jina lake.
Lema aliahidi kujenga barabara za town kwa kiwango cha lami na imekuwa. Sijitambui kivipi mkuu?
Huyu ndiyo mbunge wa wananchi wa jimbo la Arusha
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Lema hakuwahi kujenga barabara, barabara zimejengwa kwa msaada wa benki ya dunia!
Kwahiyo hakuna cha Machinga Complex tena, kwa sababu chama hakikushinda?hiyo ilikuwa kama chama kingeshinda kwenye mipango ya chadema arusha,stendi inge hamishwa
..juu la kuwasaidi akina mama hilo linaendelea,hospital eneo limeshapatikana lenye ukubwa wa heka nne michoro inaendelea..