assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
BILA SHAKA MTAKUBALIANA NA MTAZAMO HUU JUU YA MH LEMA
kama kiongozi ambae anapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda aman na utulivu wa nchi MH LEMA kwa makusudi ameamua kulipuuza hilo na mara nyingi amekuwa akileta mitafaruku na maaandamo yasiyo na tija KATIKA JIJI LA KITALII NA KUHATARISHA UCHUMI WETU kwa kushawishi vijana kutotii sheria
vile vile kama MBUNGE kulilia suala la posho nidhahiri MH MBUNGE alitarajia makubwa kwa kuwa kwake bungeni na kusahau kauli ya raisi KENNEDY KWAMBA kwan umeifanyia nn TANZANIA mpk udai posho ambazo ni unyonyaji wa wazi usiseme TANZANIA IKUPE POSHO WEWE UMEIFANYIA NN HIYO TANZANIA.
BILA kusahau kuwa kama kiongozi unapodharau ushauri wa wananchi hapo unakosa CREDIBILITY mfano MH LEMA ALISHAURIWA kama anatofautiana na MH ZITO basi alipeleke tuhuma zake kwenye vikao halali na kwa kuwa ushahidi anao dhidi ya anachokituhumu basi hapo ndio ingekuwa mahala pake na MH ZITO ANGEPEWA HATUA ZA KINIDHAMU lakini cha kushangaza MH MBUNGE akakimbilia KUROPOKA kwenye mitandao ya kijamii kwa weledi wa mambo inaitwa naenda kummaliza huyu jammaa kumbe maskini anajimaliza mwenyewe kwan tumefahamu kama wananchi kuwa issue ilikua si posho chukua ule msemo wa waingereza MPE MBWA JINA BAYA ILI UWEZE KUMUUA kwani waingereza wanapenda sana mbwa hivo kumuua lazma utatafute sababu kwamba labda anakula vifaranga nk upate kumuua
kama kiongozi wa kitaifa siungi mkono watu waliotengeza picha za kipuuzi za MH LEMA ILA kama busara ingekua imemtuma mh mbunge ASINGETHUBUTU KUPRINT PICHA ZA KIPUUZI NA KUWAPA WATU WAONE, lakini busara ya wananchi walimwomba MH NI BORA ZICHOMWE KULIKO KUENDELEA KUZISAMBAZA utaona jinsi busara ya MH INAVYOPUNGUA ANAPOKUA NA MATATIZO NA HIYO HUMPUNGUZIA CREDIBILITY KWANI kama kiongozi ukiongozwa na hasira chuki malipizo mwisho unaharibu kabisa, chukua msemo USICHUKUE MAAMUZI MAZITO WAKATI UNA HASIRA KWANI HASIRA NI HASARA KAMA SI MJUKUU
MYTAKE
KWA MUDA mfupi aliokaa kama mbunge MH LEMA AMEPOTEZA POLITICAL CREDIBILITY NA KAMA KATIBA MPYA INGEKUWEPO TUNGEPITISHA PETITION YA KUMNG'OA KAMA MBUNGE