Mh. Lema amepoteza political credibility

Mh. Lema amepoteza political credibility

Una mawazo mgando sana. Lema amewashika pabaya sana magamba awamu hii.

Kwa taarifa yako hii kasi ya Lema itaendelea hadi ukombozi wa nchi hii upatikane.

Nchi hii tunahitaji vijana jasiri kama Lema.

Lema amewaamsha na kuwafundisha ujasiri vijana wa nchi hii. ccm imechukiwa na vijana baada ya kukombolewa kifikra na makamanda wetu.

DHAMBI KUBWA NA MBAYA KUPITA ZOTE NI UWOGA

Utadanganya wasiojua, Mm nilimpigia KURA Lema MWAKA 2010 leo ni mwaka wa tatu hakuna cha maana chochote Godbless J Lema alichowahi kuifanyia ARUSHA MJINI. Wamachinga waliokuwa wanategemea atwasaidia wanalalamika, akina mama waliokuwa wanategemea LEMA atawajengea Hospitali ya kujifungulia na kuwapa mikopo ya biashara wanalalamika, Vijana wasiokuwa na ajira ambao LEMA aliwapa ahadi ya kuwakopesha na kuwajengea MACHINGA COMPLEX wanalalamika! sasa sijui Mungi ni Lema yupi huyo unamzungumzia! Nilikuwa naongea na Vijana wa Pale SHAMOH car wash leo, wanasema wamemsamehe LEMA kwa yote aliyowadanganya, wanasema hata hizo machinga complex hawazitaki tena, eti akajenge kule kijijini kwao NRONGA MACHAME, wanachotaka awaachie jiji lao likiwa na AMANI kama alivyolikuta!
 
Last edited by a moderator:
LEMA anaenda kwa nguvu ya Slaa na Mboe, na haogopi chochote ndani ya CDM.
 
Mbona hii nyumba ya kawaida sana. Hata mimi mtumishi wa serikali mwadilifu na uwezo wa kujenga nyumba kama hii. Ulitaka ajenge nyumba ya makuti? Mtoa mada jipange upya hapa umechemsha

Migamba ina shida kwel ni kama kutembea na kinyesi cha mavi mfukoni
 
Umepewa Ubunge Miaka mitatu haijaisha? ushadondosha Mjengo kama huu! huoni ni hatari hii! hebu niambie, mbeya nzima umeona jengo gani la shule zuri kama hili?

Mkuu, usiwe xo cheap kiasi hichi ni mipango ya mtu kwani kabla hajawa mbunge alikuwa hapambani kimaisha, acha ulimbukeni hii ni nyumba kawaida kwa mtu kama sugu, ulitaka akae kwenye nyumba ya tembe
 
Lema hayupo kundi la viongozi ila yupo kwenye kundi la wahuni na waropokaji.
 
Mkuu, usiwe xo cheap kiasi hichi ni mipango ya mtu kwani kabla hajawa mbunge alikuwa hapambani kimaisha, acha ulimbukeni hii ni nyumba kawaida kwa mtu kama sugu, ulitaka akae kwenye nyumba ya tembe
Akili yako inamatege mkuu.
 
Lema anafanya SIASA BIASHARA, mara ya kwanza aliuza ubunge kwa milioni 30, safari hii anapambania Posho, bila kusahau sadaka kwenye mikutano ya CHADEMA. Lema ni mmoja wa wabunge wa CHADEMA ambao wamejenga makazi yao ya kuishi(majumba ya kifahari) baada ya kupata ubunge. mwingine ni SUGU wa Mbeya Mjini.
View attachment 121990
Ulitaka aishi juu ya mti? Narrow minded,cjui watu kama wewe ndo inapelekea mitanzania ipelekwe NGUMBARU..
 
Utadanganya wasiojua, Mm nilimpigia KURA Lema MWAKA 2010 leo ni mwaka wa tatu hakuna cha maana chochote Godbless J Lema alichowahi kuifanyia ARUSHA MJINI. Wamachinga waliokuwa wanategemea atwasaidia wanalalamika, akina mama waliokuwa wanategemea LEMA atawajengea Hospitali ya kujifungulia na kuwapa mikopo ya biashara wanalalamika, Vijana wasiokuwa na ajira ambao LEMA aliwapa ahadi ya kuwakopesha na kuwajengea MACHINGA COMPLEX wanalalamika! sasa sijui Mungi ni Lema yupi huyo unamzungumzia! Nilikuwa naongea na Vijana wa Pale SHAMOH car wash leo, wanasema wamemsamehe LEMA kwa yote aliyowadanganya, wanasema hata hizo machinga complex hawazitaki tena, eti akajenge kule kijijini kwao NRONGA MACHAME, wanachotaka awaachie jiji lao likiwa na AMANI kama alivyolikuta!

cha kushangaza pamoja na kutofanya hayo yote kwenye uchaguzi wa madiwani ukawapa kula wakabeba kata zote .kwanini usiamie jimbo la kgma kas.poor mac..........................
 
Acha unafiki ww na buku 7 zenu za Lumumba!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
walemavu wengi tu wengine mama zao ni walemavu wa akili na viungo pia

Ndugu yangu umezaliwa kweli wewe? Unajua matusi yako kwa mama wa mwenzako sio mazuri, hebu imagine ningemtukana mother hapo ulipo ungejisikiaje? Fanya siasa mkuu habari za familia za watu acha, hakuna mtu asiyeweza kutukana ila si uungwana.
 
BILA SHAKA MTAKUBALIANA NA MTAZAMO HUU JUU YA MH LEMA
kama kiongozi ambae anapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda aman na utulivu wa nchi MH LEMA kwa makusudi ameamua kulipuuza hilo na mara nyingi amekuwa akileta mitafaruku na maaandamo yasiyo na tija KATIKA JIJI LA KITALII NA KUHATARISHA UCHUMI WETU kwa kushawishi vijana kutotii sheria
vile vile kama MBUNGE kulilia suala la posho nidhahiri MH MBUNGE alitarajia makubwa kwa kuwa kwake bungeni na kusahau kauli ya raisi KENNEDY KWAMBA kwan umeifanyia nn TANZANIA mpk udai posho ambazo ni unyonyaji wa wazi usiseme TANZANIA IKUPE POSHO WEWE UMEIFANYIA NN HIYO TANZANIA.
BILA kusahau kuwa kama kiongozi unapodharau ushauri wa wananchi hapo unakosa CREDIBILITY mfano MH LEMA ALISHAURIWA kama anatofautiana na MH ZITO basi alipeleke tuhuma zake kwenye vikao halali na kwa kuwa ushahidi anao dhidi ya anachokituhumu basi hapo ndio ingekuwa mahala pake na MH ZITO ANGEPEWA HATUA ZA KINIDHAMU lakini cha kushangaza MH MBUNGE akakimbilia KUROPOKA kwenye mitandao ya kijamii kwa weledi wa mambo inaitwa naenda kummaliza huyu jammaa kumbe maskini anajimaliza mwenyewe kwan tumefahamu kama wananchi kuwa issue ilikua si posho chukua ule msemo wa waingereza MPE MBWA JINA BAYA ILI UWEZE KUMUUA kwani waingereza wanapenda sana mbwa hivo kumuua lazma utatafute sababu kwamba labda anakula vifaranga nk upate kumuua
kama kiongozi wa kitaifa siungi mkono watu waliotengeza picha za kipuuzi za MH LEMA ILA kama busara ingekua imemtuma mh mbunge ASINGETHUBUTU KUPRINT PICHA ZA KIPUUZI NA KUWAPA WATU WAONE, lakini busara ya wananchi walimwomba MH NI BORA ZICHOMWE KULIKO KUENDELEA KUZISAMBAZA utaona jinsi busara ya MH INAVYOPUNGUA ANAPOKUA NA MATATIZO NA HIYO HUMPUNGUZIA CREDIBILITY KWANI kama kiongozi ukiongozwa na hasira chuki malipizo mwisho unaharibu kabisa, chukua msemo USICHUKUE MAAMUZI MAZITO WAKATI UNA HASIRA KWANI HASIRA NI HASARA KAMA SI MJUKUU
MYTAKE
KWA MUDA mfupi aliokaa kama mbunge MH LEMA AMEPOTEZA POLITICAL CREDIBILITY NA KAMA KATIBA MPYA INGEKUWEPO TUNGEPITISHA PETITION YA KUMNG'OA KAMA MBUNGE

CCM hamuwezi kuwapenda wanasiasa jasiri na wenye misimamo kama Lema

Thread zenu za aina hii tunazipuuzia tu
 
Utadanganya wasiojua, Mm nilimpigia KURA Lema MWAKA 2010 leo ni mwaka wa tatu hakuna cha maana chochote Godbless J Lema alichowahi kuifanyia ARUSHA MJINI. Wamachinga waliokuwa wanategemea atwasaidia wanalalamika, akina mama waliokuwa wanategemea LEMA atawajengea Hospitali ya kujifungulia na kuwapa mikopo ya biashara wanalalamika, Vijana wasiokuwa na ajira ambao LEMA aliwapa ahadi ya kuwakopesha na kuwajengea MACHINGA COMPLEX wanalalamika! sasa sijui Mungi ni Lema yupi huyo unamzungumzia! Nilikuwa naongea na Vijana wa Pale SHAMOH car wash leo, wanasema wamemsamehe LEMA kwa yote aliyowadanganya, wanasema hata hizo machinga complex hawazitaki tena, eti akajenge kule kijijini kwao NRONGA MACHAME, wanachotaka awaachie jiji lao likiwa na AMANI kama alivyolikuta!
wananchi wa Arusha tulimpigia kura mh. Lema ili apunguze kasi yake ktk kazi anazofanya usiku ila tytumegundua hawezi acha "aliishaonja asali" hatuwezi ludia kosa jiji kama hili haliwezi kuongozwa na akili ndogo kama za Lema. or darasa la 3C
 
Last edited by a moderator:
Akili yako na tabia yako haitofautiani na huyu
attachment.php

Lema ndiyo habari ya mjini; CCM wakilala wanamuota Lema, asubuhi kabla ya breakfast Lema. Lema atawanyoosha safari hii.
attachment.php
Duhh JF Imeingiliwa.
 
Back
Top Bottom