Assadsyria3 jina lako nimebeba maudhui ya kweli ya huyu dikteta aliyemaliza watu wake kwa uchu wa madaraka, HAKIKA NDIVYO ULIVYO NAOMBA YEYOTE ATAYESOMA THREADS ZAKO AKUDHARAU DAIMA,wewe ni takataka na bila shaka uko kwenye kikundi cha mtandao wa ccm waliomua Dr Mvungi kwa kuitetea hoja ya serikali tatu,
ovyo kabisa leta issue sio maisha na miendendo ya watu, -------- mkubwa wewe, ona aibu na fadhea siku zote zitakuandamana maana mawazo yako yalivyo ndivyo ulivyo.
NAMINI NA BADO NTAENDELEA KUAMINI KWAMBA HAKUNA MWENYE AKILI TIMAMU NDANI YA ccm,