Mh. Lema amepoteza political credibility

Mh. Lema amepoteza political credibility

Kama kichwa chako hakiendeshwi na upepo lazima ukubaliane na hoja!!
 
Eti mkuu CHAMVIGA kwanini thread zenu mnazoanzisha Lumumba FC huwa hata page mbili hazifiki...?

Chamsingi ujumbe ufike suala la page si ishu. Kama page kuwa nyingi ndio ishu katizame kule Mmu.
 
Last edited by a moderator:
Naona hizi ni jitihada za makusudi kutaka kupunguza kasi ya mjadala wa Kapuya. Nimeshindwa kuokota chochote kwenye hii post.

Tiba
 
ni masikitko yangu kuwa kumbe akili kubwa itaendelea kupiga akili ndogo badala ya kujadili hoja wanajadili mleta hoja kweli ukimpenda mkeo mpka uone kafumaniwa ndio unaamini kama mkeo ni dhaifu let us wait
 
maandamano arusha ni kuua uchumi
safe_image.php
 
BILA SHAKA MTAKUBALIANA NA MTAZAMO HUU JUU YA MH LEMA
kama kiongozi ambae anapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda aman na utulivu wa nchi MH LEMA kwa makusudi ameamua kulipuuza hilo na mara nyingi amekuwa akileta mitafaruku na maaandamo yasiyo na tija KATIKA JIJI LA KITALII NA KUHATARISHA UCHUMI WETU kwa kushawishi vijana kutotii sheria
vile vile kama MBUNGE kulilia suala la posho nidhahiri MH MBUNGE alitarajia makubwa kwa kuwa kwake bungeni na kusahau kauli ya raisi KENNEDY KWAMBA kwan umeifanyia nn TANZANIA mpk udai posho ambazo ni unyonyaji wa wazi usiseme TANZANIA IKUPE POSHO WEWE UMEIFANYIA NN HIYO TANZANIA.
BILA kusahau kuwa kama kiongozi unapodharau ushauri wa wananchi hapo unakosa CREDIBILITY mfano MH LEMA ALISHAURIWA kama anatofautiana na MH ZITO basi alipeleke tuhuma zake kwenye vikao halali na kwa kuwa ushahidi anao dhidi ya anachokituhumu basi hapo ndio ingekuwa mahala pake na MH ZITO ANGEPEWA HATUA ZA KINIDHAMU lakini cha kushangaza MH MBUNGE akakimbilia KUROPOKA kwenye mitandao ya kijamii kwa weledi wa mambo inaitwa naenda kummaliza huyu jammaa kumbe maskini anajimaliza mwenyewe kwan tumefahamu kama wananchi kuwa issue ilikua si posho chukua ule msemo wa waingereza MPE MBWA JINA BAYA ILI UWEZE KUMUUA kwani waingereza wanapenda sana mbwa hivo kumuua lazma utatafute sababu kwamba labda anakula vifaranga nk upate kumuua
kama kiongozi wa kitaifa siungi mkono watu waliotengeza picha za kipuuzi za MH LEMA ILA kama busara ingekua imemtuma mh mbunge ASINGETHUBUTU KUPRINT PICHA ZA KIPUUZI NA KUWAPA WATU WAONE, lakini busara ya wananchi walimwomba MH NI BORA ZICHOMWE KULIKO KUENDELEA KUZISAMBAZA utaona jinsi busara ya MH INAVYOPUNGUA ANAPOKUA NA MATATIZO NA HIYO HUMPUNGUZIA CREDIBILITY KWANI kama kiongozi ukiongozwa na hasira chuki malipizo mwisho unaharibu kabisa, chukua msemo USICHUKUE MAAMUZI MAZITO WAKATI UNA HASIRA KWANI HASIRA NI HASARA KAMA SI MJUKUU
MYTAKE
KWA MUDA mfupi aliokaa kama mbunge MH LEMA AMEPOTEZA POLITICAL CREDIBILITY NA KAMA KATIBA MPYA INGEKUWEPO TUNGEPITISHA PETITION YA KUMNG'OA KAMA MBUNGE
Unajua kuwa mapolisi ndio wanao leta VURUGU maana wao wanajipendekeza kwa watawala hill ndio tatizo kubwa.Mhe Lema yeye anachofanya nikutetea katiba kuwa inasemaje,kwa mfano sheria ya mkutano ni kutoa taarifa Massa 24 kabla.Sasa Polisi wao wanazuia kwa kusema kuna tarifa za kiintelinjisia kumbe nikuwa furahisha ccm.
 
Lumumba fc 7 tayari hawana jipya kazi ni propaganda za kipuuzi tu, ningekuwa na uwezo ningechapa viboko vya baadhi ya watumishi pale ccm
 
ni masikitko yangu kuwa kumbe akili kubwa itaendelea kupiga akili ndogo badala ya kujadili hoja wanajadili mleta hoja kweli ukimpenda mkeo mpka uone kafumaniwa ndio unaamini kama mkeo ni dhaifu let us wait

Kama binadamu wa kawaida uwezi kuishi bila kula, ndivyo ilivyo watz bila chadema haiwezekani ndo tumaini jipya kwa wa tz wote
 
Lema anafanya SIASA BIASHARA, mara ya kwanza aliuza ubunge kwa milioni 30, safari hii anapambania Posho, bila kusahau sadaka kwenye mikutano ya CHADEMA. Lema ni mmoja wa wabunge wa CHADEMA ambao wamejenga makazi yao ya kuishi(majumba ya kifahari) baada ya kupata ubunge. mwingine ni SUGU wa Mbeya Mjini.
1455940_10151755439852548_1064434103_n.jpg
 
Lema anafanya SIASA BIASHARA, mara ya kwanza aliuza ubunge kwa milioni 30, safari hii anapambania Posho, bila kusahau sadaka kwenye mikutano ya CHADEMA. Lema ni mmoja wa wabunge wa CHADEMA ambao wamejenga makazi yao ya kuishi(majumba ya kifahari) baada ya kupata ubunge mwingine ni SUGU wa Mbeya Mjini.
View attachment 121990

We akili yako hii nayo ni lijumba,,, au tukuletee mijumba ya magamba ndo ujue kweli kuna ufisadi ccm
 
We akili yako hii nayo ni lijumba,,, au tukuletee mijumba ya magamba ndo ujue kweli kuna ufisadi ccm

Umepewa Ubunge Miaka mitatu haijaisha? ushadondosha Mjengo kama huu! huoni ni hatari hii! hebu niambie, mbeya nzima umeona jengo gani la shule zuri kama hili?
 
Umepewa Ubunge Miaka mitatu haijaisha? ushadondosha Mjengo kama huu! huoni ni hatari hii! hebu niambie, mbeya nzima umeona jengo gani la shule zuri kama hili?

ccm miaka 50...silly..
 
Lema anafanya SIASA BIASHARA, mara ya kwanza aliuza ubunge kwa milioni 30, safari hii anapambania Posho, bila kusahau sadaka kwenye mikutano ya CHADEMA. Lema ni mmoja wa wabunge wa CHADEMA ambao wamejenga makazi yao ya kuishi(majumba ya kifahari) baada ya kupata ubunge. mwingine ni SUGU wa Mbeya Mjini.
View attachment 121990

Una mawazo mgando sana. Lema amewashika pabaya sana magamba awamu hii.

Kwa taarifa yako hii kasi ya Lema itaendelea hadi ukombozi wa nchi hii upatikane.

Nchi hii tunahitaji vijana jasiri kama Lema.

Lema amewaamsha na kuwafundisha ujasiri vijana wa nchi hii. ccm imechukiwa na vijana baada ya kukombolewa kifikra na makamanda wetu.

DHAMBI KUBWA NA MBAYA KUPITA ZOTE NI UWOGA
 
Naona unaporomosha UHARO MTUPU, siyo lazima uonekane unapost...nyambafu...
 
We akili yako hii nayo ni lijumba,,, au tukuletee mijumba ya magamba ndo ujue kweli kuna ufisadi ccm

Mbona hii nyumba ya kawaida sana. Hata mimi mtumishi wa serikali mwadilifu na uwezo wa kujenga nyumba kama hii. Ulitaka ajenge nyumba ya makuti? Mtoa mada jipange upya hapa umechemsha
 
huna jipya,mbona zitto humwongelei ambaye ofisi yake kahamishia facebook na twitter? kachukue akili yako uliibinafisha lumumba ndo uje hapa uandike vitu vya maana.Kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili kama vile UMASKINI UNAOSABABISHWA NA UFISADI WA MAKADA WA CCM,UJANGILI,MADAWA YA KULEVYA YANAVYOTIA AIBU TAIFA,KATIBA MPYA,UBAKAJI,RUSHWA,MFUMO MBOVU WA ELIMU..N.K
 
Back
Top Bottom