Mh! Kweli tumeweza

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Tumeweza.jpg Tumeweza.jpg

Tumeweza eeeh!
 
Ni wapi hapo? Mi naona kama ni Wakaramoja, Uganda au watu wa Sudan ya Kusini. Wale kuvaa nguo siyo issue sana. Hata bila kitu mwilini mtu anatembea mitaani bila wasi wasi.
 
Mbunge wa hili jimbo atakuwa katoka ccm aka magamba, sidhani kama kutakuwa na ubishi hapo
 
mimi naona ccm tuna wachelewesha kwanza hatupaswi kuwachekea kwa hali hii....
 
Duh! sa hayo Masaburi na Malusinde mbona yako out! ndo Maisha bora kwa kila MTZD,
 
Back
Top Bottom