naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 668
Ni jambo la kushangaza pale ambapo rais ambaye ana miaka 3 bado madarakani anaingia kwenye siasa za fitna za kutafuta mrithi wake 2015, kimsingi Kikwete ana deni kubwa kwa watz ikizingatiwa katika kipindi cha uongozi wake binafsi sioni lolote analofanya,r ais wetu amekuwa aki deal na mambo ya kidaku zaid ndo maana mambo mengi yamekwama.
Nchi haiongozwi kwa elimu dunia haya mambo yalishapitwa na wakati, kimsingi rais hajajibu hoja za msingi za Lowassa, pale dodoma Lowassa alinukuliwa akisema hakuna alilofanya bila wewe kuagiza au kujua kuhusu richmond hata mimi naamini we huu mchafu ila kwa kuwa wewe una madaraka wa kukunyoshea kidole hamna, hata wakian Nape wanasimama jukwaani kwa ujasiri kuchafua watu kwa baraka zako, uchafu wako utaonekana zaid pale utakapoachia madaraka ya nchi.
Rais ameshindwa kufanya kazi ndo mana wakati mwingi anahudhuria misiba na sherehe na kusikiliza siasa za udaku za mtaani,kuwa rais ni kudra za mwenyezi mungu kama ambavyo umewahi kunukuliwa,tuombe mungu atupe kiongozi legelege kwani kiongozi wa namna hurudisha maendeleo ya watz nyuma..
Nawasilisha