Mh. Kasimu Majaliwa kwanini ulidanganya umma?

Mh. Kasimu Majaliwa kwanini ulidanganya umma?

jakosongosi

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Mapema mwezi wa 12 mh. naibu waziri wa tamisemi Kasimu Majaliwa aliutangazia umma kwamba ajira za walimu mwaka 2013/2014 zitatolewa mapema mwezi January.

Wahanga wa ajira hizo wamekua wakisubiri kuanzia mwez january mpaka sasa wameanza mwez mwingine hakuna tamuko au mrejesho wowote kwa umma la kushangaza bado kauli za kisiasa zinaendelea kutolewa na wakuu wa idara ya elimu. kama prof mchome ambae juz alisema muda wowote ajira zitatoka.

wakati neno muda ni pana sana, inaweza kuwa wiki,mwezi,mwaka,mlongo mpaka karne. Ndugu zangu wanajf tujadiliane hapa kwanini hawa wakuu wanadanganya umma?
 
mkuu ndo inchi yetu hii sasa utafanyaje kaka? Inabidi kuwa mpale tu mpaka hapo wao wpende!
 
Sasa hivi wapo bize na birthday ya chama labda wakimaliza watakufikiria' vuta subra
 
Mbona ajira mwaka huu wamesitisha. Hadi 2015. Habari ndo hiyo
 
nchi ya mafixadi mtu, nawango,wanafiki wa kusema mambo ya uongo kujitakasa kwa raia waonekane lakini hakuna kitu,Raia tokeni kwenye chama cha mafisadi na waongo,CDM ndo mpango mzima hawanaporoja kama viongozi wa CCM,
 
majina yalishatumwa kwenye h/mashauri kinachosubiriwa ni fungu la pesa halijatumwa...au utakubali kuripoti usipewe chochote? bila shaka jibu ni hapana..tuendelee kusubiri.
 
majina yalishatumwa kwenye h/mashauri kinachosubiriwa ni fungu la pesa halijatumwa...au utakubali kuripoti usipewe chochote? bila shaka jibu ni hapana..tuendelee kusubiri.
Acha kudanganya umma wewe wapeleke majina harafu hawajui pesa za kuwapa waajiriwa, hapa kamchezo kakudanganyana 2,mafisadi hao 2, ajira hakuna walimu,2015 dawa yao ni kura za kuwa towa madarakani
 
Acha kudanganya umma wewe wapeleke majina harafu hawajui pesa za kuwapa waajiriwa, hapa kamchezo kakudanganyana 2,mafisadi hao 2, ajira hakuna walimu,2015 dawa yao ni kura za kuwa towa madarakani

tayari majina yapo kwenye h/mashauri mkuu kama utabisha bisha tu...lakini hawawezi kuyadisplay online bila hela kutumwa.
 
kwani nawe upo wizara inayodidimiza elimu za watanzania,acha kuchafua na kurusha roho za watanzania wakiandamana hadi huko h/mashauri utazima huo moto,acha uchochezi sema mafixadi bado wanachakachua kujiongezea maposho BUNGENI nakusema eti pesa za kuajiri hawana ila za kuongezea posho WABUNGE ndo wanazo,
 
Bora wange yatoa mapema majina ili kama kunamtu hayumo ajue la kufanya. Unaweza ahirisha kusaini mkataba na shule za private kisha ukakuta jina lako halimo! Sasa unakuwa umepotezewa muda na haki pia. Good governance serikali kupitia kwa waziri wa tamisemi anapaswa kuja hadharani na kubatilisha tamko alilo litoa kuwa ajira zingetoka January mwaka huu akitoa na sababu zenye mashiko. Hivi hatuwezi kuiga mema ya serikali ya china wanayofanya kwa kiongozi anae danganya umma? Ulizeni anafanywaje na sisi tufuate si ni marafiki zetu? Au tunafuata ya ovyo na kuacha yaliyo mema?(Nyerere).
 
Fedha tuliyotenga kwa ajili ya ajira za walimu imetulazimu kuzipeleka tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura kwa umuhimu wa daftari hilo ukizingatia tunaelekea katika kupiga kura ya maoni katiba mpya' sasa utakubali kwenda kituoni bila pesa? Hivyo tumeamua kusitisha ajira mwaka huu mpaka mwakani'
 
Hivi huyu jamaa hakuorodheshwa kwenye miongoni mwa 'mizigo'? Anapaswa kuorodheshwa bhana ili kuunda mafurushi.
 
Mapema mwezi wa 12 mh. naibu waziri wa tamisemi Kasimu Majaliwa aliutangazia umma kwamba ajira za walimu mwaka 2013/2014 zitatolewa mapema mwezi January.

Wahanga wa ajira hizo wamekua wakisubiri kuanzia mwez january mpaka sasa wameanza mwez mwingine hakuna tamuko au mrejesho wowote kwa umma la kushangaza bado kauli za kisiasa zinaendelea kutolewa na wakuu wa idara ya elimu. kama prof mchome ambae juz alisema muda wowote ajira zitatoka.

wakati neno muda ni pana sana, inaweza kuwa wiki,mwezi,mwaka,mlongo mpaka karne. Ndugu zangu wanajf tujadiliane hapa kwanini hawa wakuu wanadanganya umma?

Duh,hii kali sana kumbe Mhe,Premier naye pia ni muongo vilevile,dah! Hivi watanzania hatuna stock ya viongozi wenye wito wa kuutumikia umma? Na kama hatuna,tutaendelea kuwakosa hadi lini!? Hii kiukweli ni hatari sana maana uongozi katika nchi yoyote ni lazima iwe na uongozi bora kama moja ya nguzo muhimu kabisa kwa Maendeleo ya nchi na wananchi wake. Hata hivyo,pamoja na kuwa na suprise kubwa kutoka kwa mhe Rais,lakini bado pia kuna haja ya kuwa na trained leaders ili wananchi wawe na furaha katka nchi yao.

Lakini pamoja na hayo,bado pia kuna haja kubwa sana ya kuendelea kumuomba ili aendelee kuwapa maono makubwa kuweza kulipeleka taifa sehemu husika na penye tija zaidi.

Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Magufuli na serikali yake na uijaze hekima na Busara kama za Mfalme Suleimani na wengine wengi kama hao...
 
Back
Top Bottom