Mh Kamanda Siro: Hili ni sawa?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,394
73,985
Askali wako Tanga wanakusanya pikipiki zilizopaki ambazo hazitembei barabarani. Mbaya zaidi Askali wanaingia nyumbani mwa watu wanachukua pikipiki ambazo haziko barabarani.
Hili liko sawa?
 
Inategemea na order kutoka juu.. Wao wanatekeleza maagizo ya mkuu wa kazi

"Ndio mkuu!!"

Anyways sio Askali ni Askari*
 
Back
Top Bottom