hilo basi likipita mtaani usiku likiwasha taa kuku wote mtaani wataamka wakidhani kushakucha, ukianika nguo usiku likawasha hiyo mitaa yake dakika kumi tu nguo zote zinakauka. Akiwasha hizotaa wakati wa mvua mvua inakatika na vumbi linatimka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.