Hapo ujue umeme unahama kutoka kwenye lap top mpaka kwenye buffer na Kama laptop yako ingekuwa na bati ambalo linapitisha umeme basi ungekuwa unapigwa shoti hiyo??
Mbona hiyo ipo sana hata kwenye deki na dvd au hata vingamuzi sema kam utakuwa umevaa viatu unaweza usiisikie