Niko kwenye mahusiano na mdada wa miaka 28, uhusiano wetu sasa una takribani miezi 9. Kimsingi tumekuwa sawa kwa muda wote lakini kuna kitu kimoja ambacho kwangu kinanishangaza kuhusu huyu mpenzi wangu. Kila ninapotaka kufanya nae mapenzi muda ambao kwa kweli hata akili nimeshai-tune kula mzigo utasikia anakwambia " ah! subiri kwanza mi nilikwambia nataka simu mbona hujaninunulia?" au mi nina shida ya hela nataka kununua kitu fulani mbona hujanipa?...Hii hali kwa kweli siipendi kabisa na hunipotezea kabisa stimu. Mwanzoni nilidhani huenda ndio alivyokuwa kabla sijakuwa naye na nikajaribu kumueleza vizuri tu kuwa kila kitu kina muda wake ili ajirekebishe. Tukiwa kwenye love basi wote tuwe hapo hayo mambo mengine nayo yana muda wake....ataelewa kwa muda lakini baada ya wiki hiyo kitu inajirudia sijui tatizo nini???
Yuko kikazi zaidi
Yuko kikazi zaidi
mpe akupe wewe bana vp?
Timiza ahadi zako....
ploe sna je wewe huwa unampa masahrti yoyote?au tatizo ni muda anaokumbushia?na kwa nini huwa haumtimizi mpaka akukumbushe?labda yeye huo muda wa stimu ndo anona muda muafaka kuchombezea shida zake!ni suala la kuelewana zaidi na kuwa muwazi,km anakuomba kitu ambacho unajua hautaweza kumtimizia ni bora kusema Ukweli katika namna nzuri siyo kumdanganya ukadhani atasahau kumbe nooo,wanawake wapo very sensitive ktk promise eeh