Mh! Jamani hivi wote wako hivi au huyu wangu tu???!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh! Jamani hivi wote wako hivi au huyu wangu tu???!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Aug 18, 2011.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Niko kwenye mahusiano na mdada wa miaka 28, uhusiano wetu sasa una takribani miezi 9. Kimsingi tumekuwa sawa kwa muda wote lakini kuna kitu kimoja ambacho kwangu kinanishangaza kuhusu huyu mpenzi wangu. Kila ninapotaka kufanya nae mapenzi muda ambao kwa kweli hata akili nimeshai-tune kula mzigo utasikia anakwambia " ah! subiri kwanza mi nilikwambia nataka simu mbona hujaninunulia?" au mi nina shida ya hela nataka kununua kitu fulani mbona hujanipa?...Hii hali kwa kweli siipendi kabisa na hunipotezea kabisa stimu. Mwanzoni nilidhani huenda ndio alivyokuwa kabla sijakuwa naye na nikajaribu kumueleza vizuri tu kuwa kila kitu kina muda wake ili ajirekebishe. Tukiwa kwenye love basi wote tuwe hapo hayo mambo mengine nayo yana muda wake....ataelewa kwa muda lakini baada ya wiki hiyo kitu inajirudia sijui tatizo nini???
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  hamna mapenzi hapo..
  Unagharamikia ngono tu.... Shtuka kabla hujaumizwa moyo
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Yuko kikazi zaidi
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Inajirudia kwa sababu unakuwa hujamtimizia anachotaka...
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  I can't aggree mo!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Timiza ahadi zako....
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sana. Lakini afadhali huyu anaulizia hivi vitu tayari kesashavua. Wengi siku hizi ukimuomba tu utasikia, sawa lakini hebu niahidi lile ombi langu la kabati ya nguo utanipa lini...
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu bora hata huyo anasubiri kwanza kabla hujafikia kilele ndo alete maombi yake maana wengine huwa wanasubiri ile point ya no return then wanawakilisha maombi yao.

  jaribu kumuelewesha kuwa yeye ni mpenzi wako na unajua mahitaji yake na kama mnapendana ajue kuwa utamtimizia kile ambacho anataka kwa wakati huo na asiwe na wasi wasi wewe ni wake so mahitaji yake unajipanga utayatimiza
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hamna kitu hapo......... yupo kimaslahi zaidi. kifupi unatumika tu.....yeye yupo kibiashara zaidi!!!
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeonae?..
   
 11. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ...mjasiriamali huyo......naukibana hivyo hivyo atasepa..
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh....she needs an intercessory prayer!
   
 13. Tosha

  Tosha Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ploe sna je wewe huwa unampa masahrti yoyote?au tatizo ni muda anaokumbushia?na kwa nini huwa haumtimizi mpaka akukumbushe?labda yeye huo muda wa stimu ndo anona muda muafaka kuchombezea shida zake!ni suala la kuelewana zaidi na kuwa muwazi,km anakuomba kitu ambacho unajua hautaweza kumtimizia ni bora kusema Ukweli katika namna nzuri siyo kumdanganya ukadhani atasahau kumbe nooo,wanawake wapo very sensitive ktk promise eeh
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mpe akupe wewe bana vp?
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  jamaa inaonekana mbahili mbaya hataki kutoa ila anataka apokee tuu
   
 16. p

  pointers JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hapo sio swala la ahadi
  kuna uhusiano gani wa ahadi na kupewa unyumba...
  huyo anatumia ngono kama silaha ya kupewa anachotaka
   
 17. p

  pointers JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hapo umenena ndugu....ila tabia ya kukumbushia wakati wa kutiana sio kabis
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huyu amekaa kiuchumi zaidi na anatumia vizuri kitegauchumi chake!
   
 19. bryleen

  bryleen Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chapa lapa jombaa unafanya ATM
   
 20. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kumbe braza unataka vya bure kwani mkeo huyo? Nasikia hata kwa waliooa kuna wakati shem anachoka kutoa bure anampa mhusika invoice.
   
Loading...