Tanzia: Sheikh Idd Nyundo afariki dunia

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Kuna taarifa zisizothibitishwa kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala [na hapo kabla Temeke] Mh. Idd Nyundo amefariki dunia leo asubuhi.

bagamoyo,
 
Last edited:
Kuna taarifa zisizothibitishwa kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala [na hapo kabla Temeke] Mh. Idd Nyundo amefariki dunia leo asubuhi.

Inna lillahi wainna ilaihi rajiun,
mwenyezi mungu awape subira wafiwa, awape rehema waliotangulia, na atujaalie nasi tuwe na mwisho mwema!!

ghafla au??
 
Nimeambiwa alikuwa anaumwa.
 
There goes another tetesi zikifuatiwa na "Inna Lillahi..." nyiingi kabla ya uthibitisho.
 
Dilunga, you can remove that 'tetesi' thing. Ni kweli imeshathibitika Mh. Nyundo ametutoka.
 
Kutoka BAKITA, correct word ni marehemu. Neno 'hayati' linaelezea uhai. Hivyo huwezi kum-entitle mtu aliyekufa kama 'hayati'. Hao kamusi project nao wanachemsha.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania).
 
"Kutoka BAKITA"? Nionyeshe chanzo, sema BAKITA wamekwambia hicho kitu katika documentation kadha wa kadha, au toa tamko kwamba wewe ni Katibu Mwenezi wa BAKITA hivyo wewe ndio chanzo.

Siwezi nikadaiwa attribution sehemu halafu nikasema namnukuu bwana mmoja au sijui bibi mmoja yuko Jamii Forum anaitwa Uwiano Maalum kasema BAKITA wamesema, unless wewe ni Katibu Mwenezi wa BAKITA.

Wewe ni Katibu wa kueneza taarifa za BAKITA? Mmetoa documentation yeyote?
 
For this and further queries, contact BAKITA.
 
Kutoka BAKITA, correct word ni marehemu. Neno 'hayati' linaelezea uhai. Hivyo huwezi kum-entitle mtu aliyekufa kama 'hayati'. Hao kamusi project nao wanachemsha.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania).

mbona nalielewa kinyume? mf, hayat baba wa taifa?

anway, poleni wafiwa
 
Habarini za saa hizi?

Katika kuangalia status za Whatsapp naona watu wengi wame post Nyundo kafariki. Nimetafuta source sijafanikiwa. Najua humu ndio mama wa habari zote.Tafadhali tujuzane ni nini kimempata kama ni kweli.
Kama ni kweli nawapa pole ndugu zangu wanzanzibar na wafiwa wote.

Sheikh Nyundo ni Sheikh mwenye ushawishi mkubwa kwenye dini ya ndugu zetu waislam na amekua akikemea mengi mabaya waziwazi. Nadhani pia aliwahi kufungiwa kuzungumza kutokana na kuikosoa serikali ya Zanzibar mara kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaweza kuwa kweli nimeona mshikaji wangu mmoja kapost taarifa hii kwenye whatsapp status.
 
Back
Top Bottom