Mh hii ni kweli

Mh hii ni kweli

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Kuwa watanzania ni wanafiki na wabinafsi?
 
Kuwa watanzania ni wanafiki na wabinafsi?

Eti hufanyi vizuri wanakusengenyaukiondoka, ukiwepo wankusifia
Umeme umezima kwa wengine kwako unagenerator unaona sawa kwa hao waliozimiwa wewe ni haki yako kuwa na mwanga.
 
Naona usipotaja rejao hupati usingizi kabisa!

dah! inaonekana wewe ni selebriti?!!!
ngoja nijipange vizuri, naweza lamba bingo hapa.
habari yako binafsi banaa
 
dah! inaonekana wewe ni selebriti?!!!
ngoja nijipange vizuri, naweza lamba bingo hapa.
habari yako binafsi banaa
Hahahahh hah..mi underground tu. Nashangaa kuna watu wananipaiza humu bila sababu yoyote! Mimi nipo pouwa kabisa..sijui wewe!
 
Naweza kukubali kuhusu ubinafsi, nakumbuka jamaa alijaa hasira alipoona natumia kivuli chake kujikinga na jua.
 
Jina lako halitishi ila sura yako loh!
Kafanye face-lift au plastic surgery kabisa
Hahaha..kumbe? Nilikuwa sijijui! Ngoja nifuate huu ushauri wako aisee, vuta subira, utamuona rejao wa ukweli!!
 
Hahahahh hah..mi underground tu. Nashangaa kuna watu wananipaiza humu bila sababu yoyote! Mimi nipo pouwa kabisa..sijui wewe!

mie sijambo kabisa, najitahidi kumridhisha mkoloni hapa ili aniongeze kwenye listi ya bonus,lol.
nimeona watu wanakurusha baana, mara eeh! wapi papaaa Rejao,
moyoni nkajisemea pembeni yako sibanduki, lol
 
Usifanye chochote, hiyo sura ni hela tupu hujaamua kwenda holiwud tu.
Unapewa nafasi ya jambazi au pawa malimao au mcheza argentian tango au mwanasayansi anayetaka kuvumbua hata yeye hajui anataka kuvumbua nini (kama Dexter laboratory)

Those eyes: sharp, bright, pawaful eyez they are yummy yummy

Hahaha..kumbe? Nilikuwa sijijui! Ngoja nifuate huu ushauri wako aisee, vuta subira, utamuona rejao wa ukweli!!
 
Back
Top Bottom