Swadakta ndugu Yahya, swali langu:
a} Ukizingatia ukomavu wa Mh.Hamad katika siasa, je ni sahihi kwa yeye kuanzisha chama kingine endapo atafukuzwa CUF???
b} Anaongeleaje muafaka wa CCM na CUF kwa sasa, umemaliza kiini cha tatizo Znz?
c} Muungano; una maslahi kwa Wazanzibari wa kawaida {tofauti na viongozi}?