Mh. Halima Mdee uso kwa uso na wanachuo na wananchi wa Kilimanjaro.

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Katika pita pita zangu mtaani usiku wa jana nilisikia gari la matangazo aina ya toyota hilux, likitangaza mdahalo/ mkutano utakaofanyika leo-25 katika chuo cha ualimu Mwenge.. ANGALIZO:- Mkutano huu haipendezi ukiwa na maslahi ya kisiasa bali itapendeza endapo utakua na lengo la kuleta mabadiliko na mapinduzi/ukombozi katika taifa hili. Mungu ibariki Tanzania
 
Mabadiliko/Mapinduzi siyo siasa? Acha kushindwa kutofatisha vitu vyepesi kama hivyo wewe.
 
Siasa inaaffect kila kitu hata ndoa yako either directly or indirectly. Funguka we. Usikimbie siasa.
 
Maisha magumu yameletwa na siasa mbovu na chafu ya ccm.Mdee nyoosha na kemea pepo mbaya wa ccm!.Pipoz pawa ni nooumer!
 
Back
Top Bottom