Kamanda kafanya poa sana. Hawa magamba wanapaswa kuambiwa ukweli ktk yote!Hii imetokea leo tarehe 12/6/2011 saa 9.00 Katika Ibada ya mazishi iliyokuwa ikiongozwa na askofu Laizer, Msaidizi wa askofu na wakuu wa majimbo katika Usharika wa KKKT Kijenge mbele ya mbunge wa Ngorongoro na M/Kiti wa CCM mkoa.Katika Ibada hii alikuwepo Gaudence Lyimo embattled Meya wa Arusha na hapa ndipo drama ilipo anza pale Lema alipoambiwa atoe salaam za rambirambi kwa maelfu ya waombolezaji kutoka maeneo mengi ya manispaa ya Arusha akiwa msemaji wa mwisho. Baada ya salaam zake zilizojaa hekima na Busara aliwaonya wombolezaji na haswa MC aliyekuwa anamtaja taja Meya wa manispaa ya Arusha. Alipokuwa anamalizia akasema" nasikia mtu anayetajwa tajwa kama meya wa manispaa Arusha hapa; ninaomba mtambue kwamba mpaka sasa arusha hatujamchagua Meya na hatuna Meya". Hali hii iliwafanya vijana kushangilia huku Askofu laizer akabaki akiwa anatazama kana kwamba anasema' NO COMMENT'.Hakuna aliye dilute maneno ya Mh. Lema kwani MC alichuku mic na kuendelea kuwatangazia watu utaratibu uliokuwa unaendelea huku minunguno ikitawala kwa kila mtu kutoa mtazamo wake kuhusu statement ya mh. Lema. wengine walimsifu kwa kuwa jasiri na wengine wakasema ameharibu. Je wewe mwana JF unasemaje kuhusu hiyo statement ya Lema.Ibada hii ilikuwa ya mazishi ya Mkurugenzi wa kampuni ya Mbogo expedition Ltd ndugu Godwin Elihuruma Moleli a.k.a.Mbogo( 1975-2011) aliyefariki kwa kupata ajali mbaya ya gari usiku wa tarehe 9/6/2011 maeneo ya Moshono Manispaa ya Arusha
Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi.....
Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans.
Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.
Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
Watu wa Ar wepi hao unaowasemea wewe?? Acha kusingizia watu wa Ar, Lema ni shujaa wetu, hajatuchosha! Na hatujamchoka. Koma, koma na tena koma kuisemea mioyo yetu. Kama umekosa cha kuchangia sio lazima uandike uongo hapa! Shame on you Kishongo!Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi.....
Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans.
Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.
Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
hajakosea,kwani amechaguliwa kwa ajili hiyo(kuchafua hewa)hata kule bungeni kuna hewa nzito sana kutokana na vitu anavyo achia.problem ni nani anafaidika na kazi yake hii aliyojipa(ya kuchafua hewa)nafikri hajajitambua uzito wa nafasi yake ktk jamii.ajirekebishe na afanye kazi kwa ajili ya wana arusha si kuchafua hewa kila anapopata nafasi ili kujipatia umaarufu bazoka.(cheap popularity)
hajakosea,kwani amechaguliwa kwa ajili hiyo(kuchafua hewa)hata kule bungeni kuna hewa nzito sana kutokana na vitu anavyo achia.problem ni nani anafaidika na kazi yake hii aliyojipa(ya kuchafua hewa)nafikri hajajitambua uzito wa nafasi yake ktk jamii.ajirekebishe na afanye kazi kwa ajili ya wana arusha si kuchafua hewa kila anapopata nafasi ili kujipatia umaarufu bazoka.(cheap popularity)
Ina maana kibaka akikuibia ukiwa kwenye msiba utacheka naye kwa sababu ya heshima ya msiba?Its so sad about Mbogo, alikuwa mdogo lakini aliyeweza kujua kutafuta pesa na kukuza uchumi na mbaya zaidi alikuwa anatoka kwenye maandalizi ya mazishi ya business partner wake Mzee Mallya, nawaombea Mungu waliobaki waweze kuendeleza alivyoacha, his hotel was almost over and had lot of things to do but God's time was ready very sad.
its good to know when and where to speak something. mimi ni supporter wa chadema but kuna heshima ya msiba, hata kama mtu ni adui yako kuna wakati wa kujidai humuoni.
we koma kutusemea watu wa arusha kamsemee mamaako,mmeo,babaako kifupi isemee familia yenu..Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi..... Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans. Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
Ina maana kibaka akikuibia ukiwa kwenye msiba utacheka naye kwa sababu ya heshima ya msiba?