KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
maelezo atakuja kuyatoa bwana mgombea urais,mwenyewe,atatuambia alikua wapi na anafanya nini na kina nani?
kwa hiyo slaa hawezi kuzungumza na watu wa aina hii sio?Acha unafiki wewe, hii picha ilishawahi kuletwa humu mwaka juzi na ikawa proven kuwa ni photo shop, haihitaji hata cert. ya IT kulitambua hilo, mtahangaika sana na Dr. wa Ukweli lakini si wa level za magamba yenu
bora wewe ,maana mwenzako hapo juu anadai ni photo shop tu hiyo cuz anavyoona yeye slaa si kwa ajili ya watu kama hao!Dr ndio amekwambia kuwa hicho ni kikao au? Naona ni sehemu ya nje ya hoteli fulani hapo. Ni public place. Sioni tatizo hapo.
kwa hiyo slaa hawezi kuzungumza na watu wa aina hii sio?
Tukuulize wewe uliyeleta umbea. What is so special Dr. Slaa akiwa na watu fulani? Are they criminals?
Acha umbea mdogo mdogo
mambo ya familia ya slaa yanamuhusu nini mwenyekiti?
kwani ni nani huyu mwarabu!!!!!!!!!