Mh. Freeman Mbowe una taarifa na kikao hiki?

Mh. Freeman Mbowe una taarifa na kikao hiki?

kwa hiyo slaa hawezi kuzungumza na watu wa aina hii sio?

Anaweza kuzungumza nao ila kwa hapo ni mapimbi wenzio waliojiunga JF juzi ndio watakaoamini huo ushenzi wako. Hii picha hata mtu mwenye utindio wa ubongo anaweza kujua kuwa kichwa cha slaa kimepachikwa kwenye mwili wa babu wa kihindi. Haiitaji degree ya chuo kikuu kujua hilo labda uwe pimbi kama.......!
 
Dr ndio amekwambia kuwa hicho ni kikao au? Naona ni sehemu ya nje ya hoteli fulani hapo. Ni public place. Sioni tatizo hapo.

Hata kama kingekuwa ni kikao cha siri tungejadili kama picha ingekuwa ya kweli,sio hawa wanaleta photoshop na kutaka kuwalaghai watu
 
Manix babu bado anavaa tshirt za chagua Mkapa.
 
Huyu aliyeleta hii picha hapa ndo THINK tank la CCM.
Hawa ndio wanawaita CHADEMA wadini/wakristo na wachochezi wa vurugu za gas Mtwara.

wakiulizwa mbona mtwara wanaotoa matamko ni SHURA YA MAIMAMU, wajajimbwelambwela.

Wana vichwa lakini vimejaa mapanki.
Ubongo wameuza, sasa wanahaha.
 
Kwani Dr kila analofanya lazima Mboye ajue?
 
mwenyekiti anazo taarifa lakini au alichepuka kisiri camera ndio zikamuumbua sasa kuna wapambe wanahangaika kufanya cover up eti it was a photo shop!halafu hiyo fulana ya kijani sio chagua kikwete ya ccm hiyo kweli?!!!!maneno ya nape ya mtu kumiliki kadi mbili za vyama viwili tofauti yanaweza kuwa na mantiki aisee

Hivi ukiwa kiongozi wa kisiasa ndo kila kitu uombe ruhusa kwa wakuu wako. Watoto wa geti nao huomba ruhusa kwenda kugegedwa
 
weka maelezo tujue sasa picha tu kama ulikuwa unataka tuione basi tutaiona.

hebu chunguza urefu wa hiyo miguu ndo utajua hiyo ni photo shop! Kwa height ya slaa hawezi kuwa na miguu hiyo.
 
wala sihangaiki sana na jina hili kim kardash,maana akili zao huwa sio nzuri,kama mwenye jina lake mwenyewe aliweza kufanya ujinga ule na Ray j tena bila aibu dunia nzima ikamuona,huyu aliecopy jina lake tena mtz atakuwa naaibu kwl,naona unafata nyayo za wajina lako mama,
 
Acha unafiki wewe, hii picha ilishawahi kuletwa humu mwaka juzi na ikawa proven kuwa ni photo shop, haihitaji hata cert. ya IT kulitambua hilo, mtahangaika sana na Dr. wa Ukweli lakini si wa level za magamba yenu
pia mwenyewe nilikuwa nina wasiwasi na hii picha ukiiangalia vizuri inaonesha DR Haoneshi contact na hao na kila aliyepo hapo yupo busy kivyake hakuna mahusiano kidogo ni ngumu kuiamini hii picha! hii inafaa kuwadanganyiawatu wasiofanya analysis ila kwa wenye akila lazima wanareason
 
Kibabu kinaangalia totoz tu,, duh! kina balaa hiki kizee!!
 
Acha unafiki wewe, hii picha ilishawahi kuletwa humu mwaka juzi na ikawa proven kuwa ni photo shop, haihitaji hata cert. ya IT kulitambua hilo, mtahangaika sana na Dr. wa Ukweli lakini si wa level za magamba yenu

Dr Zero mbona mishipa ya shingo inakutoka kwa jambo la kawaida. Kwani kuna kitu hapo Dr Slaa anaweza kuwa na shaka nacho, au kuna jambo unataka tulielewe?
 
Hata kama kingekuwa ni kikao cha siri tungejadili kama picha ingekuwa ya kweli,sio hawa wanaleta photoshop na kutaka kuwalaghai watu

Usitake kutudanganya hebu twambie kitu gani hapo kipo tofauti? Kwani huyo Dr ameharamishiwa watu wa kabila fulani? Hii ndio mnapoambiwa mkakataa bure!
 
Tukuulize wewe uliyeleta umbea. What is so special Dr. Slaa akiwa na watu fulani? Are they criminals?

Acha umbea mdogo mdogo


Nilifikiri kuwekwa picha hii kungeleta manufaa zaidi kwa chama chenu kujivua na yanayoelezwa lakini kumbe la kuvunda halina ubani!
 
Dr Zero mbona mishipa ya shingo inakutoka kwa jambo la kawaida. Kwani kuna kitu hapo Dr Slaa anaweza kuwa na shaka nacho, au kuna jambo unataka tulielewe?

Nataka muelewe kuwa hiyo picha imetengenezwa. period
 
Nataka muelewe kuwa hiyo picha imetengenezwa. period

Ulichofanikiwa kutufanyia sisi ni kuamini kuwa hiyo picha ni ya kweli na badala yake inaleta controversial kwa conservatives wa hichi chama!
 
acha unafiki wewe, hii picha ilishawahi kuletwa humu mwaka juzi na ikawa proven kuwa ni photo shop, haihitaji hata cert. Ya it kulitambua hilo, mtahangaika sana na dr. Wa ukweli lakini si wa level za magamba yenu


chezea photoshop ziko kibao, moja wapo ni hii.
image.jpg
 
Back
Top Bottom