Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

mbunge hajielewi kabisa, yeye kila kukicha ni vurugu,vituko na maajabu, inabidi aingizwe kwenye maajabu saba ya dunia awe ni ajabu la nane
 
Kwa hiyo majimbo yaliyo wazi mipango haitekelezeki? Usituletee siasa zilizoidhoofisha NCCR kwa kuwasumbua wabunge wao then mkawashitaki kwa raia, sisi ni werevu na tunafahamu mgao wa maendeleo haumfuati mbunge ni mpango toka central government! Nenda Apolo katibiwe hako kadudu naona unazidi kupaua kenchi.
 
Achaneni na mpumbavu unafikiri hilo jina la MACHANGU ni jina la mtu mwenye timamu kweli .Yeye aeleze kuwepo kwake hapo bungeni ni hoja gani ambazo alishawahi kuwasilisha kuwasaidia wananchi.Lema wanamkamata kwasababu ya kuikosoa serikali na tabia yake ya uonevu.
 
Mh Lema tummchagua,huyu dada kateuliwa!Lema ni wetu,huyu Eliza ni wa kwao!Watuachie Mbunge wetu.
 
jama huyu changu hana lolote ndio wale walivua chu. pi wakapatiwa ubunge ni aibu sana kwa mtu kama huyu kusema wanaarusha hawana Mbunge
 
jama huyu changu hana lolote ndio wale walivua chu. pi wakapatiwa ubunge ni aibu sana kwa mtu kama huyu kusema wanaarusha hawana Mbunge
 
Anasema bungeni katika hoja ya Maliasili na Utalii, eti wana Arusha watafakari hawana Mbunge wa kuwasemea, kwa kua kila siku yupo Mahakamani, kwenye maandamano. Hayo ndio maneno ya Mbunge wa viti maalumu-CCM. Amesahau kuwa mzee Mandela aliingizwa ktika list ya magaidi na Thatcher, leo kafa kamwacha mzee na heshima kubwa

mwambieni Lema alichaguliwa na wananchi zaidi ya 50000 hawezi kujilinganisha naye yeye kachaguliwa na watu wasiozidi hata kumi tena mwambieni tunajua wengi wao wanapewa huo ubunge gesti baada kugawa nonihino
 
Anasema bungeni katika hoja ya Maliasili na Utalii, eti wana Arusha watafakari hawana Mbunge wa kuwasemea, kwa kua kila siku yupo Mahakamani, kwenye maandamano. Hayo ndio maneno ya Mbunge wa viti maalumu-CCM. Amesahau kuwa mzee Mandela aliingizwa ktika list ya magaidi na Thatcher, leo kafa kamwacha mzee na heshima kubwa

Nimekuelewa ila kwa arusha.. mmmmmmmh
 
lema yeye kama yeye huwa hana tatizo ila tatizo la lema ni upeo,upeo wa lema ni mdogo na inambidi afanye siasa za namna anavyofanya ndizo anazoziweza ila siasa za hoja siyo saizi yake.
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
Mwambieni akawe yeye. Lakini inawezekana kwa kuwa jicho moja siyo natural amepata athari kwenye ubongo. Atafutiwe dentist.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni suala la muda tu,ndipo watu watajua kwamba Arusha hawana mbunge,na tatizo la viongozi wakuu wa chadema ni wabinafsi wanaangalia kwamba watawezaje kukamata madaraka ya nchi kwa style yeyote,ndo maana ndani ya chadema hautaona hata cku moja watu aina ya wakina Lema wakaonekana wana makosa,kisa ni influence aliyonayo kwa vijana wake wa Arusha,na hili ndilo la kujiuliza kwamba kama chama ata unye hadharani as longer Una credit kwa chama kukisaidia kuingia madarakani basi wewe watakusifia tu,lakini uwe wenzangu na mimi wakina kafulila kipindi kile kabka hajaea mbunge,au wakina Shonza na mwalimu Mwapamba,lazima wakutoe kafara,ndo maana hata wakina Zitto kwa asivyotakiwa ndani ya chadema kwa sasa bas inabid kuvumiliana,kwa mantiki hiyo CDM wapo kimaslahi zaid,wakisukumwa na ndoto za urais kwa padri na ndoto za PM kwa Mbowe.But in general hakuna chama pale,Kuna wahuni tu.

RC Mulugo ndio ana data za LEMA..wewe nenda lumumba ukachukue zako,----- wewee...
LEMA !!! bila Arusha Lema hakuna na bila Lema chga hakuna.!!!
hatutaki mtu goigoi Arusha....huku ni kwa makamanda
hao kina mulugo huku hawawezi pata mabwege....chuga wajanja wote labda wajaribu bagamoyo sio kaskazini tena CHUGA!
 
Hivi huyu mbunge alikamatwa na Takukuru ilikuwa issue gani ?
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.

Hivi ni machangu au machangu doa
 
Hata hayo maandamano ni yakudai haki, kuhusu mahakamani magamba ndio wanao mbambikia kesi zisizo na maana eti kumwambia mtu unatembea kama unaenda harusini nalo nikosa! Ukowapi uhuru wa kuongea? No freedom of speech, ukiongea ukweli unakesi
 
Beetr Machangu--doa yeye alihonga KIPOCHI MANYOYA akapata viti maalumu LEMA ni dume la mbegu limepambana na rundo la magamba na ikulu likashinda na wana arusha wakalipa ridhaa,achana na Lema kikwapa wewe!!!
 
Back
Top Bottom