Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

Anasema bungeni katika hoja ya Maliasili na Utalii, eti wana Arusha watafakari hawana Mbunge wa kuwasemea, kwa kua kila siku yupo Mahakamani, kwenye maandamano. Hayo ndio maneno ya Mbunge wa viti maalumu-CCM. Amesahau kuwa mzee Mandela aliingizwa ktika list ya magaidi na Thatcher, leo kafa kamwacha mzee na heshima kubwa

amesahau kabisa mandela alikua mwakilishi wa weusi SA kwa miaka zaidi ya 20 huku akiwa jela
 
Kah sasa mbona anapeta bungeni waliomkamata Wako wapi mbona hashughulikiwi jamani?
 
Jina lenyewe anaitwa Changu mlitegemea aongee point? Akili zipo kwenye chupi huyo.
 
Back
Top Bottom