Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Anasema bungeni katika hoja ya Maliasili na Utalii, eti wana Arusha watafakari hawana Mbunge wa kuwasemea, kwa kua kila siku yupo Mahakamani, kwenye maandamano. Hayo ndio maneno ya Mbunge wa viti maalumu-CCM. Amesahau kuwa mzee Mandela aliingizwa ktika list ya magaidi na Thatcher, leo kafa kamwacha mzee na heshima kubwa
 
Machangu elewa Mh Lema hakupewa ubunge wa kuhongwa alipewa ridhaa hii na wakazi wa Arusha juu ya gharama kubwa na mbinu mbovu za kutaka kumvua ubunge kushindwa. Hakukamatwa na TAKUKURU akihonga wapiga kura kama wewe ulivyo kamatwa Safari resort guest ukihonga wapiga kura. Lema ni mbunge ws A Town na itakuwa hivyo. Hatuhitaji stuletee maendeleo sisi @eke yetu, tunataka awakomboe Waranzania wote kutoka siasa za majitaka zinazo fanywa na Ccm. Hats M wl Nyerere aliona kwamba Tanzania Tanzania haitakuwa huru hadi Afrika yote iwe huru.
 
Hivi mkoa mzima wa Arusha mbunge ni Lema peke yake?? Kwani yeye MACHANGU-DOA hawezi kwasemea wana Arusha. Ndio maana maCCM yanazidi kukataliwa na wana Arusha, hoja kama ina maslahi kwa wana Arusha hata yeye anatakiwa kuisema. Sio kuiachia kila kitu CHADEMA hata kama ndio tumaini letu pekee watanzania
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
 
kwani machangu mfano wa Ohio au pale Mrina wana akili yoyote? sio kosa lake copy right na jina lake!!
 
Huyo ma_CHANGU naona anamtaka Lema afu Kamanda kamkataa,mara nyingi akija mjini huwa anauita pale hotel Am ila kamanda Anampotezea.
 
mbunge mmoja wa viti maalum chadema amesema ni kweli mbunge wao yuko bize na maandamano lakini haina shida kwa sababu wabunge wa viti maalumu wa mkoa huo wapo
 
Sasa ulitegemea Machangu achangie nini? Kwanza ni wa viti maalum hajui hata ukubwa wa jimbo likoje!
 
Kwanza ni mbunge wa viti maalum,kitu ambacho watu wanakipigia kelele kiondolewe,hawa viti maalum hawana lolote zifutwe tu wao ni kelele tu na c*****a za wajanja tu
 
Huyu ni miongoni mwa wale wabunge aliowasema kibajaji mitusi Lusinde kuwa wamepachikwa mimba zisizotarajiwa, ndo maana anaropokaropoka hovyo
 
Hivi jina lake la wisho ni nani?? Ma changu?? Mimi napita nimetoka kwenye ban.
 
Namkumbuka sana huyu mama mdogo huwa hajajaliwa bahati ya kucheza muziki. Siku ukibahatika kucheza naye basi utaona kiatu chako kitakavyokanyagwa kanyagwa pua mara mia kidogo.

Hivyo hata kauli yake ya kisiasa juu ya Kamanda Lema ncho naona vile vile kuwa si tofauti saana na ile kawaida yake ya kuwakanyaga watu viatu bila sababu.

Wanabodi wala msivalie sana njuga kauli za huyu ma-mdogo wetu kwani sana sana itukua ni kama zimemponyoka tu mdomoni; tofauti na hapo yeye mwanasiasa mwanafunzi mzuri tu pale sebuleni Dodoma.
 
Ni suala la muda tu,ndipo watu watajua kwamba Arusha hawana mbunge,na tatizo la viongozi wakuu wa chadema ni wabinafsi wanaangalia kwamba watawezaje kukamata madaraka ya nchi kwa style yeyote,ndo maana ndani ya chadema hautaona hata cku moja watu aina ya wakina Lema wakaonekana wana makosa,kisa ni influence aliyonayo kwa vijana wake wa Arusha,na hili ndilo la kujiuliza kwamba kama chama ata unye hadharani as longer Una credit kwa chama kukisaidia kuingia madarakani basi wewe watakusifia tu,lakini uwe wenzangu na mimi wakina kafulila kipindi kile kabka hajaea mbunge,au wakina Shonza na mwalimu Mwapamba,lazima wakutoe kafara,ndo maana hata wakina Zitto kwa asivyotakiwa ndani ya chadema kwa sasa bas inabid kuvumiliana,kwa mantiki hiyo CDM wapo kimaslahi zaid,wakisukumwa na ndoto za urais kwa padri na ndoto za PM kwa Mbowe.But in general hakuna chama pale,Kuna wahuni tu.
 
mbunge mmoja wa viti maalum chadema amesema ni kweli mbunge wao yuko bize na maandamano lakini haina shida kwa sababu wabunge wa viti maalumu wa mkoa huo wapo
 
Huyo naye ni chakula y wazee.
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
Machangu kwanza hana kazi ya kufanya, aje Arusha atuulize tumwambie. Nchi inahitaji kukombolewa kwanza kutoka mikononi mwa mafisadi na wala rushwa wa chama chake CCM
Maendeleo baadae!
 
Back
Top Bottom