Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
dada umetoa ushauri mzuri kweli yaani inareflect na jinsi wewe ulivyo, in short dogo tumia kondomu kula mzigo fasta ila asikung'ang'anie kitu na roho yako bana hizo bahati huwa tunazitafuta sana sisi watoto wa uswahilini