Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,535
- Thread starter
- #41
Sasa mkuu wewe ambae hujatumwa siungeshauri basi! au tuache tu kila mtu afanye awezalo atakapofika ndio hapo hapo?Mtoa mada umetumwa ww,
Sasa mkuu wewe ambae hujatumwa siungeshauri basi! au tuache tu kila mtu afanye awezalo atakapofika ndio hapo hapo?Mtoa mada umetumwa ww,
Mkuu sijakata tamaa. Nataka tupate mbinu bora kabisa ya kuweka mambo sawa ambayo inaweza ikawa na ufanisi mkubwa. Hata askari wanapopigana, kuna muda hupeleka mashambulizi lakini wakiona mbinu haijakaa sawa wanarudi nyuma kidogo halafu wakija sasa usiombee kichapo chake.pia wanaweza wakatumia mbinu ya kuzunguka na kuzingira kabla ya kushambulia.Sio woga ni mbinu mkuu.
Kufanya kazi na mtu/uongozi usiokuwa na imani nao ni busara kujiuzulu(kuachia ngazi) ili uonesha kuwa huna imani na serikal yako na kuonesha m,simamo wako!
Wanalijua hilo soo kitambo sana.
Hawa maharamia huwa hawaweki pesa benki <<Nadhani umeona picha ya Agness 'Masogange' Gerald>>. Huwa wanawekeza katika majengo na magari. Hawaweki benki kwa sbb ni rahisi sana kuwa tracked.