kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Naona mheshimiwa akimsaidia mama kumtwisha ndoo huku akiwa amemuandaa camera man.
Alimsifia?naomba link ya hiyo clipAlimskia Pombe akimsifia yule wa iringa anayepiga Picha za kick na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Naona mheshimiwa akimsaidia mama kumtwisha ndoo huku akiwa amemuandaa camera man.
Yana maanisha watu huwa wanaogelea humo ili hali hayo maji ni kwa matumizi ya binadamu !!! Hizo mavazi ni ya kusomea taarifa ya habari, sio ya kuendea Bwawani!!!Hakuyaona matairi ya gari, hapo yanafanaya nini?
Anamtwisha maji mama mtoni matukio haya kisiasa wanawake hutwishwa maji siku ya uzinduzi wa bomba naona mkuu wa wilaya anajitolea zaidi kuwasidia wamama kazi za nyumbani za kila siku cameras at work
Huyu nae alisoma Iringa...bila shaka kuna kitu fulani cha kufanyiwa utafitiHaha..ubunifu zero. Atafute njia yake ya kutokea nae. Hii ya mheshimiwa DC wa Iringa.
Hakuyaona matairi ya gari, hapo yanafanaya nini?