Mh. Augustino Lyatonga Mrema Mbunge wa Vunjo

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
253
Reaction score
35
Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo kulitaja jimbo lake atajitahidi hata kama hoja ile haipo kabisa jimboni mwake atajitahidi aivute mpaka ahakikishe amejua ni namna gani vunja inaweza kufaidika na hoja hiyo.
Kama anaona haiwezekani basi yuko tayari asichangie hoja hiyo. Hii imenipa hamasa kwani mm sijawahi kusikia jimbo langu likitajwa bungeni, nadhani ni kwa vile tunawakilishwa na gamba hlf limedanganywa uwaziri mdogo n/waziri.

Mm naamini kuna wa tz hawajui kama tz tuna jimbo linaitwa BUYUNGU.
Ndg. Wana JF mnaionaje hii staili ya mrema, mm naiunga mkono.

NAOMBA KUWASILISHA
 
lile jimbo alilozawadiwa na ccm alipocheza ndombolo kwenye kikao cha nec ya ccm...kulitajataja jimbo sio solution ya matatizo ya wanajimbo kinachomatter ni kutatua matatizo yao..inawezekana kulitaja jimbo ukiwa dodoma na haujakanyaga tokea uchaguliwe..mrema ni mgonjwa wa mwili na akili anahitaji kupumzika siasa
 
kwani alishapona kisukari? Manake kama bado hajapona usiyaamini sana maneno yake! Mrema ni ndumi la kuwili wala hana lolote ashanunuliwa zamani.
 
Kuna mbunge mmoja alisema jana kuwa Mrema na Cheyo ni mawakala wa CCM. Alichimbwa mkwala na J. Mhagama kuwa atamtoa nje mara moja. Ukweli huyu ni wakala full stop
 
aaah naona mnamjadili mgonjwa hapa!
 
kwani alishapona kisukari? Manake kama bado hajapona usiyaamini sana maneno yake! Mrema ni ndumi la kuwili wala hana lolote ashanunuliwa zamani.
<br />
<br />
Jamani Mrema si alishapata KIKOMBE pale Samunge Loliondo? Anadai yuko njema kiafya.
 
Huwa anapenda kujifurahisha kw akulitaja jimbo la lake, japo anajua hawezi saidi chochote jimboni, akirudi anawadanganya,,mlisikia nilivyowarusha hewani...!
 
pole sana kaka...mkipeleka mwanaharakati lazima jimbo lenu litajwe tajwe sana, sasa hivi ngoja kamba liendelee kunywaa chai na vitafunio tu kwana
 
Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo kulitaja jimbo lake atajitahidi hata kama hoja ile haipo kabisa jimboni mwake atajitahidi aivute mpaka ahakikishe amejua ni namna gani vunja inaweza kufaidika na hoja hiyo.
Kama anaona haiwezekani basi yuko tayari asichangie hoja hiyo. Hii imenipa hamasa kwani mm sijawahi kusikia jimbo langu likitajwa bungeni, nadhani ni kwa vile tunawakilishwa na gamba hlf limedanganywa uwaziri mdogo n/waziri.

Mm naamini kuna wa tz hawajui kama tz tuna jimbo linaitwa BUYUNGU.
Ndg. Wana JF mnaionaje hii staili ya mrema, mm naiunga mkono.

NAOMBA KUWASILISHA

mrema kama Chacha wangwe hawezi kuchangia bila kuitaja Tarime. R.P.I Chacha wangwe.
 
kwani alishapona kisukari? Manake kama bado hajapona usiyaamini sana maneno yake! Mrema ni ndumi la kuwili wala hana lolote ashanunuliwa zamani.
<br />
<br />
na wewe t.shs ngapi nikununue sweet
 
Back
Top Bottom