mguu wangu jamani!!!

asante my shem, lakin mie cna maumivu ya aina yoyote isipokuwa mguu wa kulia unautegea wa kushoto. hautaki kuonesha ushirikiano. afu hiyo Rhumatism ndo nini?

Rheumatism au rheumatic is a none specific term for medical problems .
Affectin the joints, mifupa na baadhi ya viungo mf. Mgongo , shoulder, wrist , leg, knee, ankle , hip , achilles pains .
Na mostly huathiri due cold wheather, but nirudie kaulimbiyu yangu to seek medical advice it's only remained the solution (Compulsory).
 

thanks for ur advice my shem, i will do the needfull. . .
 
hali zenu wadau,
leo ni siku ya tatu nahic mguu wangu wa kulia unakosa nguvu. unakuwa kama unakufa ganzi hivi, nikitembea unakuwa mzito kweli ila hauumia kabisa. je kuna ambaye anaweza kujua hili ni tatizo gani?

ni pm na babu yangu fundi atakutatulia tatizo
 
Mmmmh !
Ma , ma , ma , masa,
masaji .
Sijui kwa nini samtaiymzi napatagwa na ki, ki, ki , kigu, gu , mizi ?
ee , e , eti
kwa , kwa, kwanini?

we hujui ni kipindi cha mvua hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…