CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Pole mamii charminglady!!
Peleka jukwaa la Jf doctor,bila shaka hapo utapata msaada stahiki.
c mtaalam wa mambo hayo,but jitahidi kufanya mazoezi kama kutembea au kukimbia,kuruka kamba nk.yaweza saidia.pole.
charminglady jamani....hujaenda hospitali?
...aisee polee.nahisi tunafanana tatizo..ila mie niliwahi kuumia Goti mpira miaka hiyoo...mguu unasumbua mpk leo..nao huwa unakufa ganzi..ila mie nawaona madr kila mara..nawe fanya hivyo..kwa ushaurihali zenu wadau,
leo ni siku ya tatu nahic mguu wangu wa kulia unakosa nguvu. unakuwa kama unakufa ganzi hivi, nikitembea unakuwa mzito kweli ila hauumia kabisa. je kuna ambaye anaweza kujua hili ni tatizo gani?
...aisee polee.nahisi tunafanana tatizo..ila mie niliwahi kuumia Goti mpira miaka hiyoo...mguu unasumbua mpk leo..nao huwa unakufa ganzi..ila mie nawaona madr kila mara..nawe fanya hivyo..kwa ushauri
Pole sana charminglady. Kwani unahsi kama kuchoma choma hivi?
asante Eliah, yan huu mguu unanikosesha raha hadi nimepost hapa!
sijaenda kwani sikikii maumivu, nahitaji kufahamu kwanza huenda ni hali ya kawaida au lah!
hapana Nicas Mtei, hauna maumiv yoyote wala hauchomichomi. ila unakuwa mzito tu wakati wa kutembea kama vile hauna nguvu.
dr. Riwa na dr. MziziMkavu mpo wapi?