Mguu wa mwanaume wa Dar

Hahaaa so mchezo kuikuta picha yang hum

Unaweza ukang'ang'aniwa na kula mvua za kutosha, kwa kuwa tu picha ya mguu wako imekutwa karibu na eneo la tukio. Bora ukachukua tahadhari. Siku hizi halmashauri nyingi ziko likizo.
 
Kwani mguu wa mwanaume unatakiwa kuwa vipi?! Nauona kawaida tuu aki kulingana na umbo lake!!
Umeuona mguu wa mwanaume huu???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Attachments

  • Mguu.jpg
    8.1 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…