mgonjwa wa akili

mgonjwa wa akili

katawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2010
Posts
1,336
Reaction score
2,828
Mwanamama aliwai kukutana na mgonjwa wa akili huko Hospitalini Mirembe akiwa amelazwa wodi ya vichaa.
Miez kadhaa baadaye wakakutana Dsm mitaani mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo.
Mwanamama;mgonjwa umepona?
Mgonjwa;hapana
Mwanamama;mbona upo hapa badala ya kuwa Hospitali?
Mgonjwa:kule nilikuwa "boarding"sasa nipo "day"
 
Ila kweli kumuuliza swali kichaa unahitaji uwe kichaa wa muda vinginevyo.......balaaaaah!
 
Back
Top Bottom