Sindano Mayanja
Member
- Apr 7, 2019
- 8
- 14
Makamanda mnazidi kupukutika.Soma post #5 amekujibu vizuri sana
kama matusi ni majibu basi tanzania tumeendelea sana hakuna haja ya kumlaumu Ndugai maana hii ni nchi ya vichaaSoma post #5 amekujibu vizuri sana
MaCCM na akili za mandazi.Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Mimi siungi mkono alichokifanya kwa ubinadamu lakini nikija kwa ulichokisema hapa unadanganya maana ile ilikua ni ziara ambayo walioitayarisa walimshauri vibaya Lissu. Kama mambo yangeenda kama walivyotarajia ilitakiwa iwe ziara ya mafanikio lakini nijuavyo haikua ya mafanikio. Hivyo ulichokisema ni uongo Lissu hakualikwa ila alidanganywa na baadhi ya rafiki zake ama viongozi wake. Alitakiwa kutumia akili. Lissu atambue kuwa hapigwi vita na CCM tu bali hata huko upinzani ni tishio hivyo walimtengenezea mazingira ambayo yalishusha (polls) ambazo zilikua juu kabla ya ziara.Mbona wahanga wa ajali huwa wanaalikwa hadi studio za televisheni kuelezea yaliyowakuta huku wakiwa bado wanajitibu.
Lissu nae alialikwa kwenda kuelezea ajali iliyomkuta nje ya kumbi za Bunge tukufu.
Anavunja makusudi asipochukuliwa hatua anawaona watu wadhaifu na wapuuzi.KAKA sindano najuwa hiyo sindano itakuwa imemuingia vizuri sana aliyekuwa mheshimiwa lissu maana huyu sheria anazijua halafu anazivunja makusudi kwakuzani kuwa katiba inaweza kuvunjwa halafu ukapata msamaha wa kuhurumiwa kwakuwa wewe ni kiongozi wa upinzani eti wataonekana wanakuonea katu sheria ni msumeno kula jeuri yako hakuna kuvunja katiba harafu uhurumiwe hayo ndiyo malipo ya ke tundu lissu
Kupukutika vipi mkuu? Maana kupo kipukutika kama waridi, linapukutika maua ya zamani yanadondoka ili mapya yanayo nukia yatokeeMakamanda mnazidi kupukutika.
Hivi kusema watu wanatekwa ni kashfa wakati ni ukweli? Wanashambuliwa ni kukashifu nchi wakati yeye mwili mzima umecharazwa mikasi? Ulitaka akamsifie jiwe?hiyo siyo point yaani mtu anafanya ziara na kuongea uozo wake huko na kuikashfu nchiyake mwenyewe halafu mnasema hawezi kutoa hata taarifa zake mwenyewe bungeni ? huo ni ujinga kama aliofanya mbowe akafutiwa zamana akasota gerezani sijui mshauri wao huwa ni shetani gani
Ufahamu wako hua unanitia shakasiyo roho mbaya semeni mnataka kuvunja katibahalafu muangaliwe tu nguruwe nyie
Mkuu mbona atujakuona kwenye maandamano ya kupongezaKwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii.
Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale aliyokuwa anayasema tena akiwa mwanasheria.
Kwa tujuavyo sisi Raia tulidhani alipaswa kabla ya kuanza ziara kuandika barua kwa Spika kutaarifu Bunge kuwa hata mkiniona nazurura bado naendelea na matibabu jambo ambalo sidhani kama lilifanyika.
Lissu tulidhani ungetimiza wajibu wa kisheria kwa kujaza taarifa Muhimu kwakuwa tayari ulikuwa umepona kiasi cha kufanya ziara lakini hukufanya hivyo.
Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.
Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Hivi mwanafamilia wako akipigwa risasi mbele ya central police station halafu polisi hata hawafuatilii na zaidi kamishna wa polisi anaenda kazini kwake na kuwaanbia wamsimamishe kazi...huwezi kumhurumia?!mmmhh yaani wewe nitakuwa hata sikujibu ukicomet maana unafikiria kwa kutumia makalio hujui hata sheria katiba inasemaje unataka ahurumiwe amekuwa nani yeye