Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

Kama aliwahi au alishawahi kumuingilia kimwili wala haitomuuma ila kama ndio ilikuwa mara yake ya kwanza(hajawahi kugusa) na kikanuka, atajiona ana mkosi
 
hatari kabisa aisee hii mambo uisikie tu kwa mwenzako isikutokee
 
Illegal contract is not enforceable by the law! That contract involved an illegal object, and therefore illegal contract!
 
Illegal contract is not enforceable by the law! That contract involved an illegal object, and therefore illegal contract!
Ukileta mambo ya sheria ndo maana tunawauwa. Illegal contract... kwani hiyo relation ni legal? Ebu acha hizo bhana. Kwanza katoa hela kidogo sana.
 
Uswazi kuna vituko yaani huyo mk=jumbe kaweka na namba yake ya simu ili iweje ndo asipolipa aje kumbana au? aisee
 
Back
Top Bottom