and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,224 Reaction score 39,704 Jul 20, 2015 #1 Jamaa ambaye alifumaniwa na mke wa mtu amelipishwa 300,000/= kama faini ya UGONI. Hili dili mbona kama limepangwa na mwenye mke? Wadau kuweni makini na wake za watu hapa mjini.
Jamaa ambaye alifumaniwa na mke wa mtu amelipishwa 300,000/= kama faini ya UGONI. Hili dili mbona kama limepangwa na mwenye mke? Wadau kuweni makini na wake za watu hapa mjini.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,222 Reaction score 6,716 Jul 20, 2015 #2 Ana bahati sana huyo, kama mwenye mke angekuwa ni mtu mkatili mbona angeipata.... Zile adhabu zetu za mjini zingemhusu
Ana bahati sana huyo, kama mwenye mke angekuwa ni mtu mkatili mbona angeipata.... Zile adhabu zetu za mjini zingemhusu
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,224 Reaction score 39,704 Jul 20, 2015 Thread starter #3 daah aisee usisikie kufumaniwa mkubwa ni hatari sana unaweza kutoa hata nyumba ili tu mambo yaishe kimya kimya. wake za watu ni sumu kali
daah aisee usisikie kufumaniwa mkubwa ni hatari sana unaweza kutoa hata nyumba ili tu mambo yaishe kimya kimya. wake za watu ni sumu kali
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,700 Jul 20, 2015 #4 Jamaa alikuwa ameshapiga?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,224 Reaction score 39,704 Jul 20, 2015 Thread starter #5 alikuwa ameshapiga tayari amefumaniwa baada ya kukaa humo ndani kitambo kiasi. Faini ya 300,000/= ni ndogo sana jameni kwa mke wa mtu
alikuwa ameshapiga tayari amefumaniwa baada ya kukaa humo ndani kitambo kiasi. Faini ya 300,000/= ni ndogo sana jameni kwa mke wa mtu
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,833 Jul 20, 2015 #6 Mkuu imetokea wapi?huyo jamaa kama vile ninamjua!
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,802 Jul 20, 2015 #7 Ila jamaa amefaidi hiyo mashine bila shaka ni kitu TIGHT na ya MOTOOO maana kiumbo cha huyo bibie kinaonekana kimetulia haswaaaa... Laki 3 kitu ganiiiiii...
Ila jamaa amefaidi hiyo mashine bila shaka ni kitu TIGHT na ya MOTOOO maana kiumbo cha huyo bibie kinaonekana kimetulia haswaaaa... Laki 3 kitu ganiiiiii...
franktemu123 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 1,406 Reaction score 1,481 Jul 20, 2015 #8 jamaa anatia huruma utadhani ana utu kumbe msanii tu. Hawa watu ni wa kunyonga kabisa aisee
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,982 Jul 20, 2015 #9 Joshua-ok blessings katika ubora wao Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,224 Reaction score 39,704 Jul 20, 2015 Thread starter #10 daah jamaa nouma sana linatoa mijicho kama vile halijui kilichofanyika
hewizet JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 2,519 Reaction score 1,660 Jul 20, 2015 #11 Mi ningemlipa na mahari yake aliyotoaga nibaki na goma
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,371 Jul 20, 2015 #12 Khe imekuwa mtaji... imenishika hapaaa����
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,295 Jul 20, 2015 #13 Hyo faini mbona hela kidogo hivo. Mbaba mwenye sura chachu ka nini yani na huyu mdada mzuri ndo ajiheshimu hivi
Hyo faini mbona hela kidogo hivo. Mbaba mwenye sura chachu ka nini yani na huyu mdada mzuri ndo ajiheshimu hivi
chisagapipi JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 467 Reaction score 104 Jul 21, 2015 #14 Huyu angekutwa huku Usukumani ingekula kwake
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 7,915 Reaction score 14,638 Jul 21, 2015 #15 Mi nngemrudishia mahari yake kabsa
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Jul 21, 2015 #16 Na mwanamke nae kalipa nini kwa kutoka outside of ndoa?
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,752 Jul 21, 2015 #17 Bongo movie au kweli?
hill and portion JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 1,236 Reaction score 744 Jul 21, 2015 #18 hewizet said: Mi ningemlipa na mahari yake aliyotoaga nibaki na goma Click to expand... duuu mkuu avatar yko na yangu zinafanana loool:thumbup:
hewizet said: Mi ningemlipa na mahari yake aliyotoaga nibaki na goma Click to expand... duuu mkuu avatar yko na yangu zinafanana loool:thumbup:
Tembere Member Joined Nov 14, 2013 Posts 83 Reaction score 31 Jul 21, 2015 #19 Rich Pol said: Jamaa alikuwa ameshapiga? Click to expand... 😂😂😂😂😂👆🏻👆🏻👆🏻Kama ameshapiga mbona ndogo
Rich Pol said: Jamaa alikuwa ameshapiga? Click to expand... 😂😂😂😂😂👆🏻👆🏻👆🏻Kama ameshapiga mbona ndogo
pngalawa Member Joined May 20, 2015 Posts 31 Reaction score 3 Jul 21, 2015 #20 Tembere said: ððððððð»ðð»ðð»Kama ameshapiga mbona ndogo Click to expand... bora huyo kakulipisha laki tatu tu.mimi nakulipisha laki 3 ya nauli halafu na sululu ya utosini
Tembere said: ððððððð»ðð»ðð»Kama ameshapiga mbona ndogo Click to expand... bora huyo kakulipisha laki tatu tu.mimi nakulipisha laki 3 ya nauli halafu na sululu ya utosini