Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,104
Jamaa ambaye alifumaniwa na mke wa mtu amelipishwa 300,000/= kama faini ya UGONI. Hili dili mbona kama limepangwa na mwenye mke?

Wadau kuweni makini na wake za watu hapa mjini.

hataree.JPG MjumbeBARUA.jpg
 
Ana bahati sana huyo, kama mwenye mke angekuwa ni mtu mkatili mbona angeipata....
Zile adhabu zetu za mjini zingemhusu
 
daah aisee usisikie kufumaniwa mkubwa ni hatari sana unaweza kutoa hata nyumba ili tu mambo yaishe kimya kimya. wake za watu ni sumu kali
 
alikuwa ameshapiga tayari amefumaniwa baada ya kukaa humo ndani kitambo kiasi. Faini ya 300,000/= ni ndogo sana jameni kwa mke wa mtu
 
Ila jamaa amefaidi hiyo mashine bila shaka ni kitu TIGHT na ya MOTOOO maana kiumbo cha huyo bibie kinaonekana kimetulia haswaaaa... Laki 3 kitu ganiiiiii...
 
jamaa anatia huruma utadhani ana utu kumbe msanii tu. Hawa watu ni wa kunyonga kabisa aisee
 
daah jamaa nouma sana linatoa mijicho kama vile halijui kilichofanyika
 
Mi ningemlipa na mahari yake aliyotoaga nibaki na goma
 
Hyo faini mbona hela kidogo hivo. Mbaba mwenye sura chachu ka nini yani na huyu mdada mzuri ndo ajiheshimu hivi
 
Na mwanamke nae kalipa nini kwa kutoka outside of ndoa?
 
😂😂😂😂😂👆🏻👆🏻👆🏻Kama ameshapiga mbona ndogo

bora huyo kakulipisha laki tatu tu.mimi nakulipisha laki 3 ya nauli halafu na sululu ya utosini
 
Back
Top Bottom